Mbowe na Dr Slaa, natoa saa 24!

Mbowe na Dr Slaa, natoa saa 24!

Status
Not open for further replies.
mtoa
mada kamtishe mkeo, eti nitajitoa kwani wewe ni nani mpaka umtishe mwenyekiti na mtukufu katibu wetu. mwambie zito mtoto hatumwi dukani safari hii nyinyi kachezeni kekatugite yenu huko mtuache na chadema yetu.

Tatizo lenu vijana mnafikiri malumbano ni jambo jema, fuatilia historia ya nccr, tlp, cuf, na udp.

Alafu acha zarau
 
Mkuu nimetumia nafasi yangu, kama hii issue ingekuwa haijawekwa public ningeenda ufipa, naiweka huku ili waelewe extent ya hasira za wanachama.

Unapo'generalize unaonesha kutokujiamin! Unataka kuweka wingi wakati umeongea mawazo yako!! Wanachama gani? unawawakilisha kama nani?! Kwa mamlaka uliyopewa na nani?!
 
mjinga wewe takataka gani unatoa saa 24 akili za kuku
 
Nadhani ili uwe na conclusion iliyo na objectivity ungetazama chanzo cha malumbano hayo. Zitto kama kiongozi naye alighafirika. Yericko Nyerere nae amekuwa too emotional. Nikiitazama dhamira hasa ya Yericko naona ni kusafisha wote wenye ndimi zaidi ya moja kwenye chama.

Lakini safisha safisha haifanywi hadharani. Tunaumiza chama

Yericko hajawahi kuwa objective, ndio maana anakuja na id ya john borne kuchafua viongozi wa chadema (zito) kisa hampendi
 
Last edited by a moderator:
Mkuu pole sana mbowe na slaa wako chadema kwa ajiri ya watu fulani zito anatakiwa kuondoka chadema.
 
Acha kukariri. Zitto hana haki miliki ya misamiati ya kiswahili mkuu.
Msomi yeyote anakiri source ya kile akisemacho... Kwa mfano... Mtu akisema hongera kwa kazi ...Tunajua anam-quote Lowasa; Mtu akisema "akili ya kuambiwa changanya na ya kwako" ni JK 2010... Nenda shule!!!
 
Najiuliza tu, hivi hiki chama chetu si kina mwenyekiti, na katibu? Haiingii akilini Zitto naibu katibu anashambuliwa na Lema na baadhi ya wanaoitwa makada wa chadema then mwenyekiti na katibu hawasemi lolote. Hivi angekuwa amesemwa John Mnyika, Josephine Mushumbusi ama Slaa si matamko yangetolewa? Mungekaa Kimya?

Binafsi nina matatizo na mwenendo wa Zitto, lakini katika hali ya kawaida uongozi wa chadema mmechemsha, badala ya kujibu hoja mnaleta risiti zinazomhusu Zitto sasa hizo risiti tuzifanyeje?

Ninachotaka kuona ni maamuzi yasiyo na double standard. Yaani hiki chama kimekuwa cha ajabu sana yani kwa mfano wapo vijana kama Yericko Nyerere anatoa matamko utafikiri chadema ni chama cha shangazi yake (naongea kama wanachama wanavyosema huku mitaani) na haoni madhara ya anayoyaandika humu.

Natoa saa 24 Mbowe na Dr Slaa najua mtasoma hii post, mchukue hatua na kuhakikisha Zitto hashambuliwi katika taratibu zisizo sahihi, laa sivyo nitaungana na wanachama wa kanda yangu tutatoa tamko latakalofuatiwa na kujitoa katika shughuli zote za kichama. Tunaweza!
Usitishe watu nyau wewe,hapa ndio makao makuu mshamba wewe,eti unatoa 24hrs kamwambie mkeo na wanao....
 
we waache waendelee kuwalea hao wajinga wakina lema na wenZie.

Nashukuru, hiki ni chama kinachokwenda kuchukua dolla, tusikiruhusu kuwa na utoto mwingi ambao unaweza kushughulikiwa. Malumbano ya zito na lema ni ya kijinga sana. Wangeenda kwenye vikao vua chama
 
Halafu naona huu uharo wako ulioanzisha ulikuwa unamlenga Yericko Nyerere....Be straight and forward sio unabwabwaja bwabwaja hapa..

tedo. Tatizo sio lako, ni kuzaliwa kimandolo.
 
Last edited by a moderator:
Yericko hajawahi kuwa objective, ndio maana anakuja na id ya john borne kuchafua viongozi wa chadema (zito) kisa hampendi
Yeriko na wenzake wanatumiwa na viongozi wengine wa chadema kumwangamiza zitto sijui kwa manufaa ya nani.
 
Zito vipi mbona tunakusubiri kwenye kanda ya magharibi huonekani?
Au unatimiza yale uliyoambiwa na CCM usihusike kwa aclimia mia kukijenga chama? Maana wenzako wate wako kwenye sight zao wanaendeleza M4C
Hata Bungeni huonekani?
Kweli wabunge wa Kigoma hamuaminiki ni matatizo matupu tukianza na Kaborou ni mfano wa ovyo kabisa
 
Chama kinachoongozwa na wanafiki kina maisha mafupi sana kama maisha ya funza. Mungu kilinde chama kisidondoke ili kuendelea kuikumbusha serikali yetu ya ccm pale inapojisahau.
 
Binafsi nashangazwa sana na chama ambacho nilihisi kipo kwa maslahi yetu (Tz). Lakini sasa kimekua kwa maslahi ya Lema na Mbowe...........kweli baada ya masaa 24 makamanda wa kanda yangu pia tutatoa tamko. Nonsense.....stupid

hahahaa tamko la kuua panya!
 
In short nimempigia simu Mnyika na kasema atahakikisha anacontrol situation, Zitto hapokei simu. Dr Slaa na Mbowe sijazoeana nao.
We kweli kilaza ulitaka uzoeane nao kivipi,nenda ofisin ukatoe malalamiko yako usitake kutisha watu,kama vp jitoe unasubiria nn..
 
Najiuliza tu, hivi hiki chama chetu si kina mwenyekiti, na katibu? Haiingii akilini Zitto naibu katibu anashambuliwa na Lema na baadhi ya wanaoitwa makada wa chadema then mwenyekiti na katibu hawasemi lolote. Hivi angekuwa amesemwa John Mnyika, Josephine Mushumbusi ama Slaa si matamko yangetolewa? Mungekaa Kimya?

Binafsi nina matatizo na mwenendo wa Zitto, lakini katika hali ya kawaida uongozi wa chadema mmechemsha, badala ya kujibu hoja mnaleta risiti zinazomhusu Zitto sasa hizo risiti tuzifanyeje?

Ninachotaka kuona ni maamuzi yasiyo na double standard. Yaani hiki chama kimekuwa cha ajabu sana yani kwa mfano wapo vijana kama Yericko Nyerere anatoa matamko utafikiri chadema ni chama cha shangazi yake (naongea kama wanachama wanavyosema huku mitaani) na haoni madhara ya anayoyaandika humu.

Natoa saa 24 Mbowe na Dr Slaa najua mtasoma hii post, mchukue hatua na kuhakikisha Zitto hashambuliwi katika taratibu zisizo sahihi, laa sivyo nitaungana na wanachama wa kanda yangu tutatoa tamko latakalofuatiwa na kujitoa katika shughuli zote za kichama. Tunaweza![/QUOTE

Mbona Lema amekaa kimya nasikia wameambiwa wote wakae kimya , hat hivyo ukitaka ondoka hatutaki mamuluki...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom