Mbowe na Dr Slaa, natoa saa 24!

Mbowe na Dr Slaa, natoa saa 24!

Status
Not open for further replies.
Mtoa mada kakimbia,tabia za nyumbani kwake anataka kuleta cdm,njoo na ID mpya...
 
Huyo hatumtaki jamani,na nyie muda umekwisha,mchukuane mwende wana kwenda,kwaherini dada zangu..na mumsalimie Shonza.

Amini nakwambia,Iko siku Dr Slaa atatuelewa na siku akishtuka tu ndio utakuwa mwisho wa opportunists,aristocracy ndani ya Chama.Trust me my friend,this day is not that far.
 
Vipi kuhusu 'dogo' sixgates...??
'Saa 24' alizotoa ziliisha zamani sana, na kwa sasa yuko 'mitini'..!!
Au mimi sikumuelewa vizuri..?? Labda alitoa siku 24, na sio saa 24...??????
Ritz njoo ufafanue vizuri, na usisahau kuja pamoja na 'shangazi' yenu FaizaFoxy.

Usihofu, Sixgates kashaanza kufanya kile alichosema atafanya.

Subiri matokeo...
 
Usihofu, Sixgates kashaanza kufanya kile alichosema atafanya.

Subiri matokeo...

Sawa, ila bado namuona 'around'...!!!
Ana sua-sua kuchukua 'maamuzi magumu'...!!
Vipi, labda sixgates ni muoga kama kuku....!!
Yaani, bado namuona, anashindwa kutekeleza amri zake mwenyewe...!!!
Anahitaji motisha...????
Go man, Go ...!!
 
Last edited by a moderator:
Mleta hoja ni kanda mkuukuuuuuuu wa liCCM kwa sababu zifuiatazo..

hajui katiba ya CHADEMA inataja mamulaka ya nidhamu kwa kila ngazi ya uongozi, kwa yshauli tuu andika lalamiko lako kwa kamati kuu.
 
Sawa, ila bado namuona 'around'...!!!
Ana sua-sua kuchukua 'maamuzi magumu'...!!
Vipi, labda sixgates ni muoga kama kuku....!!
Yaani, bado namuona, anashindwa kutekeleza amri zake mwenyewe...!!!
Anahitaji motisha...????
Go man, Go ...!!

Mkuu nipo sijakimbia, nimeanza kuchukua hatua katika level za chini, nitaweka hadharani maamuzi yangu.
 
Last edited by a moderator:
Dr slaa na mbowe wamejidharirisha sana kwenye hili.
 
Amini nakwambia,Iko siku Dr Slaa atatuelewa na siku akishtuka tu ndio utakuwa mwisho wa opportunists,aristocracy ndani ya Chama.Trust me my friend,this day is not that far.

Hivi ilikuwa 24 hrs AU 24 days!?
 
Zitto ni shetani tu. Hata chama kikifa kwa ajili yake sawa.
 
najiuliza tu, hivi hiki chama chetu si kina mwenyekiti, na katibu? Haiingii akilini zitto naibu katibu anashambuliwa na lema na baadhi ya wanaoitwa makada wa chadema then mwenyekiti na katibu hawasemi lolote. Hivi angekuwa amesemwa john mnyika, josephine mushumbusi ama slaa si matamko yangetolewa? Mungekaa kimya?

Binafsi nina matatizo na mwenendo wa zitto, lakini katika hali ya kawaida uongozi wa chadema mmechemsha, badala ya kujibu hoja mnaleta risiti zinazomhusu zitto sasa hizo risiti tuzifanyeje?

Ninachotaka kuona ni maamuzi yasiyo na double standard. Yaani hiki chama kimekuwa cha ajabu sana yani kwa mfano wapo vijana kama yericko nyerere anatoa matamko utafikiri chadema ni chama cha shangazi yake (naongea kama wanachama wanavyosema huku mitaani) na haoni madhara ya anayoyaandika humu.

Natoa saa 24 mbowe na dr slaa najua mtasoma hii post, mchukue hatua na kuhakikisha zitto hashambuliwi katika taratibu zisizo sahihi, laa sivyo nitaungana na wanachama wa kanda yangu tutatoa tamko latakalofuatiwa na kujitoa katika shughuli zote za kichama. Tunaweza!

More updates
---------------------
______________-

sasa hivi ni saa sita mchana..mpaka sasa yamebaki masaa tisa. Bado nasubiri kusikia tamko la mwenyekiti wa chama, ama katibu... Laa sivyo tutachukua maamuzi magumu.

_____________
_____________

sasahivi ni saa kumi na moja jioni. Bado msimamo wangu upo pale pale.. Kama dr.w.slaa unapitia huu uzi usiupuuze njoo uje utoe kauli yako.

wewe zoba kweli, kiongozi makini hakurupuki. Unayemsemea hajapeleka malalamiko ktk uongozi ili vikao vishughulikie, wewe unalalama na kutishia nyau kwa nn ? Ondoka na hao unaowafikiria mbona hujazuiwa. Utabakia kuwa kibaraka tena bila malipo. Mbowe na slaa hawawezi kuingia ktk mtego uliochoka huo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom