Mbowe na Dr Slaa, natoa saa 24!

Mbowe na Dr Slaa, natoa saa 24!

Status
Not open for further replies.
Usitishe watu nyau wewe,hapa ndio makao makuu mshamba wewe,eti unatoa 24hrs kamwambie mkeo na wanao....

Mkuu usifikiri matusi yanakujenga, yanakushushia heshma.
 
Ridiculous and very arrogant comments, Hao viongozi wanauwezo wa kuingila na kuyatuliza hayomambo bila ya kuja hapa jf, Ukweli ni kuwa hii planned attack is part of their political journey to eliminate all popular party members who are winning the masses, while they are busy doing other things. be the pole and dont be the flag
Unafiki mtupu?!.. Akifanya Zitto poa... akitendewa yeye dhambi hata maCCM mnaibuka na kupiga kelele!
 
We kweli kilaza ulitaka uzoeane nao kivipi,nenda ofisin ukatoe malalamiko yako usitake kutisha watu,kama vp jitoe unasubiria nn..

Subirin baada ya saa 24 utaona
 
mkuu afadhali hao jamaa wangekuwa wamekupata japo kwa iota ya unachikionglea, zitto hata kama kweli anayo matatizo ndani ya chama mbele ya wapiga kura amejiuza kama yeye ni product ambayo hipo anti-ufisadi, pro-development and a patriotic tanzania. Ndio hicho wanaompendea zitto walichovutiwa nacho kwake yeye, hayo mengine mnayoyaongeza ni unnecessary si kwa zitto bali kwa afya ya chama.

Sasa cdm hata hilo hawalioni wao wapo tayari kuvunja ukuta kwa gharama kuliko kuziba ufa, hawajali ni percent ngapi ya wapiga kura wao wanaimani na zitto na wala utashi wa zitto ni majungu tu, hawajui ya ndani wangeweza kuyafanya kimya kimya kama zitto asogei zaidi asogei zaidi ya hapo, lakini kuliweka hadharani kwa majungu inaonyesha kikomo cha mwenyekiti na katibu mkuu kimawazo, yeh there not creative people after all.

mkuu ummeongea poa sana. Wanadhani zitto anataka kutpka kisiasa kumbe yeye huko wanakomuazia kesha vuka tayari. Yupo kwenye stage ya self actualization wakati hao wanaomsakama ndio kwanza hata mlo wa siku kwao ni shida.
 
Njia ya muongo ni fupi sana hapo kwenye RED umejidhihirisha kuwa wewe si CHADEMA kama ni CHADEMA basi ni PANDIKIZI.

Mkuu unapoteza muda kunitungia majina yasiyo yangu
 
Mkuu unapotoka sana, tena sana. Kuna any writings zenye copyright za hayo maneno? Naelewa unachotaka kusema lakini unapotosha tena kwa maksudi
quote_icon.png
By TAYADI

Msomi yeyote anakiri source ya kile akisemacho... Kwa mfano... Mtu akisema hongera kwa kazi ...Tunajua anam-quote Lowasa; Mtu akisema "akili ya kuambiwa changanya na ya kwako" ni JK 2010... Nenda shule!!!

Huu ni mfano tu... Ingia Brainy quotes kwenye google utaona na kujifunza... Ninachokiona hapa au kusikia kutoka kwako ni halali ku-quote!!!.
 
Mkuu chadema haijashiba wanachama. Chadema ni chama kikubwa, hata akiondoka Slaa, mbowe, zito bado kitasimama maana watu wamewekeza katika hiki chama. Tunaona mbali tunaogopa watu kukiingiza chama katika liabilities za migogoro. Nielewe nia yangu.

Mimi sikitishi chama, lakini mimi na wanachama wangu tuna nguvu ya kuprotest kama kuna ujinga unaoendelea chamani.
Wanachami wepi ulionao uyo mkeo,mwanao na mfanyakaz ndio wanachama...
 
Mkuu unapotoka sana, tena sana. Kuna any writings zenye copyright za hayo maneno? Naelewa unachotaka kusema lakini unapotosha tena kwa maksudi

Wewe ni kama Sindano inayowekwa Uzi kwa nyuma halafu ina shona kwa mbele! Kwani hukuwahi kuona Dr Slaa au Mbowe wakishambuliwa kwa matusi na kejeli nyingi nyingi na mbona hukuwahi kulalamika?

Jamani wacheni kukubali kutumika km Condom ya 250/ isiyokidhi viwango. Wana Chadema wanajulikana na Misukule [Mapandikizi] wanajulikana.
Ingekuwa wewe ni mwana CDM usingeleta hizi hoja zako mfu humu ktk majukwaa haya ya umbea. Lakini kwa kuwa waliokutuma walikupa sharti lazima utimize kwa kuwasikiliza wao. MLIPA ZUMARI NDIO MCHAGUA WIMBO!!
Tulizana kijana wacha Mawenge ya kujidai kuwa wewe ni muelewa wakati huna unalolijua!!

MUNGU IBARIKI CHADEMA!!!!!
 
Comment zako hizi kwa mjinga Happy bado unasema uko CHADEMA?

Natamani wanachadema mkawa na maono haya, tusipoteze muelekeo. Kama viongozi wetu wanakuwa katika migogoro ni wazi watapoteza kondoo. Sisi sote ni wamoja. Tatizo ni ccm. Tuwe na msingi huu.
quote_icon.png
By Happy Feet

Hawa waheshimiwa Mbowe na Dr.Slaa mbali ya kuwa viongozi wakuu kwenye chama chao bali pia ni misingi na kanuni ya chama.

Kwa maana hiyo kanuni zingine na misingi ya CDM ndani ya chama azina ulazima, si wameshasema wakifanya uchaguzi ndani ya chama CDM kitazoofika. Ndio maana matusi kwa wengine kwao sawa kwakuwa they know how to handle wapiga kura na chama chao na ni wao ndio wenye vision ya ukombozi pekee, to think kuna watu wamelewa na porojo zao.

Chama chenye misingi imara utakiona siku zetu kanuni ndio mwongozo wake, hata CCM despite matatizo yake mwisho wa siku ni kanuni za chama ndio utoka kidedea. Zitto amekuwa akitukanwa na watu ambao wadogo kwake kichama na wala hawana impact ya wapiga kura na hawapo kwenye makeke makeke ya kuipa sura ya CDM kama chama mbadala na wala hawakanywi, sasa kweli si ka-saccos binafsi tu hii chadema, wengine tunaomba waache tu kuchukua michango ya maskini kwa maslahi yao.

Chama gani badala ya kupoteza muda kuangaika na kutunga au kuuza sera na kukosoa sera kila kukicha chenyewe kinaongelea personalities, majungu na vikao almost every week.
 
Zitto anapendwa na watu wenye elimu ndogo, kama tafiti zilizoonyesha huzi juzi kwa Kikwete na yeye ni hivyo hivyo tu. Mtu mwenye akili timamu anayechambua mambo hawezi kushindwa kugundua unafiki wa Zitto na umamluki anaoufanya. Anauma na kupuliza ni wachache tu wenye upeo ndio wanaweza kugundua hili na hawawezi kubabaishwa na umaarufu wa Zitto. Nao TISS wakishamaliza kumtumia wakasambaratisha CDM watamuacha hewani ndio atajua kuwa kazi aliyokuwa akiifanya ni ya kipuuzi na inammaliza hata yeye. Zitto najua unasoma hizi post nakushauri andika hii kwenye Diary yako, Hakika litatokea.
 
sixgates,
Unatoa saa 24 kama nani?

Kama wewe ni mwanachama na ukaona tatizo ni kwanini usifuate taratibu tofauti na taratibu hizo hizo unazozilalamikia?

Unallamika kuwa kuna kiongozi ameshambuliwa lakini wewe unashambulia viongozi wa juu kwa kutumia njia hiyo hiyo

Ni lini uliona viongozi wa juu wa Chadema wameingilia mijadala humu kwenye mitandao?

Nakushauri ujifunze juu ya Itifaki.Kujaribu ku-imagine kwamba Mwenyekiti na katibu mkuu wanaweza kuja huku kumtetea kiongozi wa chini mwenye uwezo wa kujisemea na kujitetea ni gross insubordination

Tangu ianzishwe JF yamesemwa mengi lakini inapotokea hitilafu mara nyingi aliyeko rank ya chini na au msemaji wa chama mwenye mamlaka ya kusemea yote hufanya hivyo

Mkuu Ben Saanane Dr slaa huwa akikuta mijadala ambayo ana uwezo wa kujibu, hujibu. Hata katika hili hata angeweka post ya kukemea, maana mnapokuwa viongozi hata kama una uhuru wa kutoa mawazo yako lazma uangalie unayatolea wapi, kwa faida ya nan na risk zitokanazo. Lema kaniangusha.

Zitto angeshughulikiwa kwnye vikao vya chama, huko asingeweza kusema anaonewa, huku anashambuliwa hadi anacreate sympathy na jamii itamuona ananyanyaswa kumbe ana makosa. Nieleweke.
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom