Mbowe na Dr Slaa, natoa saa 24!

Mbowe na Dr Slaa, natoa saa 24!

Status
Not open for further replies.
Sikubaliani na njia uliyotumia na vitisho ulivyotoa.

Apana, wanasiasa wanataka kutuchezea. Kama ni ujinga wapeleke ccm lakini chadema ni chama cha vijana, wasomi, wapigania uhuru.

Hata che guevara wakat wa kupigania mapinduzi wale wote alioona wanarudisha nyuma juhudi, he killed them. So chadema haitayumba haitavunjwa eti kisa tunawanyoosha viongozi.
 
Mkuu chadema haijashiba wanachama. Chadema ni chama kikubwa, hata akiondoka Slaa, mbowe, zito bado kitasimama maana watu wamewekeza katika hiki chama. Tunaona mbali tunaogopa watu kukiingiza chama katika liabilities za migogoro. Nielewe nia yangu.

Mimi sikitishi chama, lakini mimi na wanachama wangu tuna nguvu ya kuprotest kama kuna ujinga unaoendelea chamani.

ujinga upi? Kutofautiana katika chama ni jambo lenye afya. Kila mtu atatekeleza majukumu yake akiwa na hofu
 
UZURI WOTE WA MAELEZO YAKO YOTE MAZURI YAMEFUTWA Na KAULI YAKO MBOVU YA ' TUTAJITOA KWENYE SHUGHULI ZA CHAMA ' ! UNAMTISHA NANI ? JITOE HATA SASA HIVI .

Mkuu inaonesha hujui impact ya protest... Subirini
 
Mi ni mpenz,mwanachama na mfia chadema.
Ila huu upuuzi unaofanywa na Lema na genge lake hauna hata chembe ya kujenga chama hata kidogo.

Jf sio ofic ya chadema so lema kama mwigamba apewe adhabu kwa kuvunja katiba ya chama.kusemana nje ya vikao ni ulimbuken wa kisiasa usioweza kuivusha Cdm yetu.
 
Apana, wanasiasa wanataka kutuchezea. Kama ni ujinga wapeleke ccm lakini chadema ni chama cha vijana, wasomi, wapigania uhuru.

Hata che guevara wakat wa kupigania mapinduzi wale wote alioona wanarudisha nyuma juhudi, he killed them. So chadema haitayumba haitavunjwa eti kisa tunawanyoosha viongozi.
So kill him!...
 
Kwa hiyo wewe msemaji wa ZITTO? Amesemwa ZITTO umechukia... Angesemwa John Mnyika, josephine mshumbusi ama Slaa ungeleta utumbo huu?
Kijana tafadhali usijifanye wewe punguani,kwani Josephine Mushumbuzi ni kiongozi Chadema?
 
Njia ya muongo ni fupi sana hapo kwenye RED umejidhihirisha kuwa wewe si CHADEMA kama ni CHADEMA basi ni PANDIKIZI.
Iyo jamii ya kina-shoza,Mwampamba na Zitto mwenyewe,mkuu hizo takataka za kuondoa chadema..
 
Natamani wanachadema mkawa na maono haya, tusipoteze muelekeo. Kama viongozi wetu wanakuwa katika migogoro ni wazi watapoteza kondoo. Sisi sote ni wamoja. Tatizo ni ccm. Tuwe na msingi huu.
Mkuu afadhali hao jamaa wangekuwa wamekupata japo kwa iota ya unachikionglea, Zitto hata kama kweli anayo matatizo ndani ya chama mbele ya wapiga kura amejiuza kama yeye ni product ambayo hipo anti-ufisadi, pro-development and a patriotic Tanzania. Ndio hicho wanaompendea zitto walichovutiwa nacho kwake yeye, hayo mengine mnayoyaongeza ni unnecessary si kwa zitto bali kwa afya ya chama.

Sasa CDM hata hilo hawalioni wao wapo tayari kuvunja ukuta kwa gharama kuliko kuziba ufa, hawajali ni percent ngapi ya wapiga kura wao wanaimani na zitto na wala utashi wa zitto ni majungu tu, hawajui ya ndani wangeweza kuyafanya kimya kimya kama zitto asogei zaidi asogei zaidi ya hapo, lakini kuliweka hadharani kwa majungu inaonyesha kikomo cha mwenyekiti na katibu mkuu kimawazo, yeh there not creative people after all.
 
Kwa vitisho hivi hata wewe ni majanga tu! Jitoe tu!... Mbona vitisho hivi hukutoa wakati ZITTO anawatumia akina MCHANGE, na Mtera kuchafua wenzake?

Mkuu hilo lilishakwisha, na vijana waliwajibishwa. Unataka turudi nyuma?
 
Mi ni mpenz,mwanachama na mfia chadema.
Ila huu upuuzi unaofanywa na Lema na genge lake hauna hata chembe ya kujenga chama hata kidogo.

Jf sio ofic ya chadema so lema kama mwigamba apewe adhabu kwa kuvunja katiba ya chama.kusemana nje ya vikao ni ulimbuken wa kisiasa usioweza kuivusha Cdm yetu.

Zitto anayetumia watu waliouvaa U-CCM kinafiki mnamuweka wapi?
 
Unapo'generalize unaonesha kutokujiamin! Unataka kuweka wingi wakati umeongea mawazo yako!! Wanachama gani? unawawakilisha kama nani?! Kwa mamlaka uliyopewa na nani?!

Mkuu nyuma yangu wapo wanachama wafia chama usifikiri ni wewe unapoteza muda kushinda mtandaoni na wala hukijengi chama.
 
Mkuu hilo lilishakwisha, na vijana waliwajibishwa. Unataka turudi nyuma?
Sawa nakubali liliisha ila vitendo vyake vya chini chini bado vinaendelea.... Anyway nikitoka MWAZYE nitakuja weekend hapo Sumbawanga tuongee vizuri.
 
mjinga wewe takataka gani unatoa saa 24 akili za kuku

Ni rahisi kufikiri kuwa kila asietoa mawazo usiyoyapenda ana akili za kuku. Aya wewe zakk ni za mbuni. Umefurahi?
 
Umetumwa na Zitto wewe. Mbona Dr.Slaa na Mbowe wakishambuliwa hapa hapa JF huwa hutoi masaa 24?
 
Msomi yeyote anakiri source ya kile akisemacho... Kwa mfano... Mtu akisema hongera kwa kazi ...Tunajua anam-quote Lowasa; Mtu akisema "akili ya kuambiwa changanya na ya kwako" ni JK 2010... Nenda shule!!!

Mkuu unapotoka sana, tena sana. Kuna any writings zenye copyright za hayo maneno? Naelewa unachotaka kusema lakini unapotosha tena kwa maksudi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom