In short nimempigia simu Mnyika na kasema atahakikisha anacontrol situation, Zitto hapokei simu. Dr Slaa na Mbowe sijazoeana nao.
Mzito usimpake mafuta kwa mgongo wa chupa. Hanyooshi chama ila anachochea malumbano... Ofisi za chama hazijui?
Wewe huoni madhara ya mambo unayoyaandika humu?Ninachotaka kuona ni maamuzi yasiyo na double standard. Yaani hiki chama kimekuwa cha ajabu sana yani kwa mfano wapo vijana kama Yericko Nyerere anatoa matamko utafikiri chadema ni chama cha shangazi yake (naongea kama wanachama wanavyosema huku mitaani) na haoni madhara ya anayoyaandika humu.
Tunahitaji kuona LEMA NA WENZIE WAKIFUNDWA SIO KUSEMA UONGOZI UMEINGILIA KATI.
LEMA NDIO ATAIZAMISHA CHADEMA.
Chadema ina jasho langu
Sikubaliani na njia uliyotumia na vitisho ulivyotoa.Mkuu nimetumia nafasi yangu, kama hii issue ingekuwa haijawekwa public ningeenda ufipa, naiweka huku ili waelewe extent ya hasira za wanachama.
Njoo uliendeshe we mkosiChadema ni kama gari lisilo na dereva
Linakwenda kwenda tu...
hahaha, kamati kuu ya CCM imetoa masaa 24 kwa Mh. Mbowe na Dr,Slaa, loh, hii kali ya mwaka.
Hiyo niliyo bold ni kauli ya ZITTO!... Mimi sikulaumu wewe kukosoa ndiyo maana na mimi nakukosoa.. Ila nakupinga kwas kuwa MNAFIKI.. UPINGACHO NDICHO UTENDACHO!
Najiuliza tu, hivi hiki chama chetu si kina mwenyekiti, na katibu? Haiingii akilini Zitto naibu katibu anashambuliwa na Lema na baadhi ya wanaoitwa makada wa chadema then mwenyekiti na katibu hawasemi lolote. Hivi angekuwa amesemwa John Mnyika, Josephine Mushumbusi ama Slaa si matamko yangetolewa? Mungekaa Kimya?
Binafsi nina matatizo na mwenendo wa Zitto, lakini katika hali ya kawaida uongozi wa chadema mmechemsha, badala ya kujibu hoja mnaleta risiti zinazomhusu Zitto sasa hizo risiti tuzifanyeje?
Ninachotaka kuona ni maamuzi yasiyo na double standard. Yaani hiki chama kimekuwa cha ajabu sana yani kwa mfano wapo vijana kama Yericko Nyerere anatoa matamko utafikiri chadema ni chama cha shangazi yake (naongea kama wanachama wanavyosema huku mitaani) na haoni madhara ya anayoyaandika humu.
Natoa saa 24 Mbowe na Dr Slaa najua mtasoma hii post, mchukue hatua na kuhakikisha Zitto hashambuliwi katika taratibu zisizo sahihi, laa sivyo nitaungana na wanachama wa kanda yangu tutatoa tamko latakalofuatiwa na kujitoa katika shughuli zote za kichama. Tunaweza!
Kwa vitisho hivi hata wewe ni majanga tu! Jitoe tu!... Mbona vitisho hivi hukutoa wakati ZITTO anawatumia akina MCHANGE, na Mtera kuchafua wenzake?Natoa saa 24 Mbowe na Dr Slaa najua mtasoma hii post, mchukue hatua na kuhakikisha Zitto hashambuliwi katika taratibu zisizo sahihi, laa sivyo nitaungana na wanachama wa kanda yangu tutatoa tamko latakalofuatiwa na kujitoa katika shughuli zote za kichama. Tunaweza!
weka namba za viongozi wote wa chadema plus wabunge wote. Tuwachane waache upuuzi wao. Tuwaambie tumechoka na malumbano na ukimya wao. Tukikaa kimya na kulalamika utakuwa ufala tushachoka.sheeenznimetoa saa 24 mkuu.