ZionGate
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 6,370
- 3,006
Watakupigia kura uwe mama wa familia,dili la unga limebuma utaanza nusa Patex...Kumbuka hawa ndio wapiga kura. Tatizo lako umejawa na kejeli, n way najua ndio muda wa viroba huu
Watakupigia kura uwe mama wa familia,dili la unga limebuma utaanza nusa Patex...Kumbuka hawa ndio wapiga kura. Tatizo lako umejawa na kejeli, n way najua ndio muda wa viroba huu
Aaagh! Usinikatili hivyo. Kitafute mkuu,maana nina like chache sana kama si hakuna kabisa. Gonga like mwana twende kazi.
Mkuu kuna vyura wengine kama wa Kihansi huwa wanapanda ndege, lakini kuna vyura wa uswazi wanapiga kelele masaa 24 na hawajui kama kuna daladala zinapiga ruti ya Mwenge- Bunju..... Chura mdogo eti anaipa taasisi kubwa kama CDM masaa 24 adhawaiz anaibomoa. Huyu hata baiskeli ukute hajawahi kuipanda.
Akili za mbayuwayu changanya na zako, says JMK, chairman CCM.
Makamanda na Magamba tofauti yao ikoje?? Kuna mmoja anatoa fotokopi na mwingine fotoshopu.Makamanda wanabaguana teh teh teh!
Njia ya muongo ni fupi sana hapo kwenye RED umejidhihirisha kuwa wewe si CHADEMA kama ni CHADEMA basi ni PANDIKIZI.
Watu wenye elimu ndogo ndio wapiga kura hao. BTW tz ina asilimie hazizidi 10 za wasomi wenye level ya kwanzia for six.
Kama atahisi nimemtusi namlinganisha na dokumenti iliyopigwa fotokopi..... Haiwezi kuchukuliwa kama dokumenti halali. Na bahati mbaya au nzuri, hili sio kosa la mashine ya fotokopi.tehe tehe tehe tehe.....hahahaha
umenichekesha sana mkuu.
ni kazi sana kwake kukuelewa hapa ulichoandika, zaidi zaidi atadhani umemtusi
Mtu ni zaidi ya me/ke,So Mimi Ndimi..Kwa kauli hii, kwani wewe ni me/ke ? Samaan
Magwanda role model wao ni CCM.Makamanda na Magamba tofauti yao ikoje?? Kuna mmoja anatoa fotokopi na mwingine fotoshopu.
Nani zaidi??
Kama atahisi nimemtusi namlinganisha na dokumenti iliyopigwa fotokopi..... Haiwezi kuchukuliwa kama dokumenti halali. Na bahati mbaya au nzuri, hili sio kosa la mashine ya fotokopi.
Magwanda role model wao ni CCM.
Zaidi ni magwanda.
Iyo jamii ya kina-shoza,Mwampamba na Zitto mwenyewe,mkuu hizo takataka za kuondoa chadema..
Ewaaaaa.... Mtoa kopi atakuwa sawa na kikojozi ambaye anajijua anakojoa kitandani. Badala ya kutafuta mbinu ya kuacha kukojoa kitandani, akili yake inamtuma kuwa jawabu ni kuweka nailoni ili godoro lisilowe...... Akili yake inamtuma kuwa tatizo ni godoro lisilowe au kunuka mkojo, kumbe tatizo ni kukojoa kitandani......mtoa kopi atakuwa hajielewi atakapoilaumu mashine....ni hatari sana kutembea ama kutenda kama kuku aliekatwa kichwa
ngoja nikusogezee huduma View attachment 119963
Ewaaaaa.... Mtoa kopi atakuwa sawa na kikojozi ambaye anajijua anakojoa kitandani. Badala ya kutafuta mbinu ya kuacha kukojoa kitandani, akili yake inamtuma kuwa jawabu ni kuweka nailoni ili godoro lisilowe...... Akili yake inamtuma kuwa tatizo ni godoro lisilowe au kunuka mkojo, kumbe tatizo ni kukojoa kitandani......
Yale yale ya kutatua tatizo kwa kutumia akili ileile iliyoleta tatizo....
Bavicha ni kawaida yao kutukana na kuwapa majina watu kama wanavyowaita watu pandikizi pale wanapopishana kwa hoja.