Mbowe na Dr Slaa, natoa saa 24!

Mbowe na Dr Slaa, natoa saa 24!

Status
Not open for further replies.
Wewe ni kama Sindano inayowekwa Uzi kwa nyuma halafu ina shona kwa mbele! Kwani hukuwahi kuona Dr Slaa au Mbowe wakishambuliwa kwa matusi na kejeli nyingi nyingi na mbona hukuwahi kulalamika?

Jamani wacheni kukubali kutumika km Condom ya 250/ isiyokidhi viwango. Wana Chadema wanajulikana na Misukule [Mapandikizi] wanajulikana.
Ingekuwa wewe ni mwana CDM usingeleta hizi hoja zako mfu humu ktk majukwaa haya ya umbea. Lakini kwa kuwa waliokutuma walikupa sharti lazima utimize kwa kuwasikiliza wao. MLIPA ZUMARI NDIO MCHAGUA WIMBO!!
Tulizana kijana wacha Mawenge ya kujidai kuwa wewe ni muelewa wakati huna unalolijua!!

MUNGU IBARIKI CHADEMA!!!!!

Mkuu, hata hueleweki umeongea mseto.
 
Hahahahahaah!!!

Mi si muumini wa vyama vya kisiasa wala siasa, ila mikwala mingine najikuta tu nachangia post kama hii kwa huu u.pupu tu baaas. Nimemkumbuka binti yangu alinipiga mkwala "baba usiponinunulia baiskeli mpaka kesho, sitaenda tena shule" Sikumnunulia na shule alienda.

This is too low.......

hahahahahahahaahahahahahahahahaahahaha

kelele za chura........................
 
Zitto anapendwa na watu wenye elimu ndogo, kama tafiti zilizoonyesha huzi juzi kwa Kikwete na yeye ni hivyo hivyo tu. Mtu mwenye akili timamu anayechambua mambo hawezi kushindwa kugundua unafiki wa Zitto na umamluki anaoufanya. Anauma na kupuliza ni wachache tu wenye upeo ndio wanaweza kugundua hili na hawawezi kubabaishwa na umaarufu wa Zitto. Nao TISS wakishamaliza kumtumia wakasambaratisha CDM watamuacha hewani ndio atajua kuwa kazi aliyokuwa akiifanya ni ya kipuuzi na inammaliza hata yeye. Zitto najua unasoma hizi post nakushauri andika hii kwenye Diary yako, Hakika litatokea.

Watu wenye elimu ndogo ndio wapiga kura hao. BTW tz ina asilimie hazizidi 10 za wasomi wenye level ya kwanzia for six.
 
sixgates,Mnyika alishatoa tamko humu kupitia mabadiliko na alisema mhe lema kavunja katiba na kanuni za chama.Na kwa sasa wapo kwenye vikao vya serikali. Lakini alisema pia kuwa kawapigia simu wahusika wote yani@Zitto na lema simu hazipokelewi(binafsi nahisi pengine walipokea baadae). Aliwakanya waache na ndio maana hatuoni malumbano tena humu.sasa msemaji wa chama kasema,si ndio kauli ya chama? Unawataka Mbowe na dr Slaa wa nini au ndio mje mseme wanamwingilia Mnyika?.au ulitaka Mnyika aite press comference wakati wao wamejibizana humu humu mitandaoni na yeye alitumia njia ile ile? Kamanda tuliza munkari tujenge chama. Sisi sote ni ndugu,adui yetu ni CCM. Tamko la chama lilishatoka,Lema ana makosa. Kwa hiyo tusubiri vikao vya bunge viishe wamshughulikie.vinginevyo chama hakiwezi kuwatoa wabunge Dodoma waende Dar kumwajibisha Lema.

kitufe cha like kimepotea bana
 
Arusha tunakujua mla pesa ya wajane name yatima afadhali ya mnafiki kuliko ww we we mtetee kaka yako
 
Najiuliza tu, hivi hiki chama chetu si kina mwenyekiti, na katibu? Haiingii akilini Zitto naibu katibu anashambuliwa na Lema na baadhi ya wanaoitwa makada wa chadema then mwenyekiti na katibu hawasemi lolote. Hivi angekuwa amesemwa John Mnyika, Josephine Mushumbusi ama Slaa si matamko yangetolewa? Mungekaa Kimya?

Binafsi nina matatizo na mwenendo wa Zitto, lakini katika hali ya kawaida uongozi wa chadema mmechemsha, badala ya kujibu hoja mnaleta risiti zinazomhusu Zitto sasa hizo risiti tuzifanyeje?

Ninachotaka kuona ni maamuzi yasiyo na double standard. Yaani hiki chama kimekuwa cha ajabu sana yani kwa mfano wapo vijana kama Yericko Nyerere anatoa matamko utafikiri chadema ni chama cha shangazi yake (naongea kama wanachama wanavyosema huku mitaani) na haoni madhara ya anayoyaandika humu.

Natoa saa 24 Mbowe na Dr Slaa najua mtasoma hii post, mchukue hatua na kuhakikisha Zitto hashambuliwi katika taratibu zisizo sahihi, laa sivyo nitaungana na wanachama wa kanda yangu tutatoa tamko latakalofuatiwa na kujitoa katika shughuli zote za kichama. Tunaweza!

Masaa24 mengi, jitoeni ndani ya 3sec, nimewapa muda sana
 
Wewe tumia akilki hata kidogo!... Huwezi kuona ujinga na mgogoro wa viongozi wenzako na kuanza kuwakemea huko huko mtaani!

Haaaa wewe majanga, kwani unataka afanyaje, lazma awakemee kw sababu ni kiongozi ambae kikatiba katibu mkuu ni mhimili wenye nguvu katika chama. Angeweza kusema stop what you are doing. Na wakamuelewa
 
mkuu ummeongea poa sana. Wanadhani zitto anataka kutpka kisiasa kumbe yeye huko wanakomuazia kesha vuka tayari. Yupo kwenye stage ya self actualization wakati hao wanaomsakama ndio kwanza hata mlo wa siku kwao ni shida.
Waje tuwape mawazo takataka za £1500, kuzisafirisha 650 ushuru millioni nne, unauza millioni 20 mpaka 22 faida ni mara mbili ya gharama.

nchi yenyewe imejaa vibanda vya chipsi na mabaa tena (ya hovyo hovyo) chips zenyewe zipo kwenye kabati la mbao unafungiwa kwenye foil how hard is to make a paper box or better still a container maana wateja wanapenda ukwaju sijui pilipili, surely there are better ways to get out bado sana kimaendeleo na potential is vast.

Siasa waziache kwa wanasiasa na watu ambao creative wenye nia ya maendeleo, ni -------- tu asieweza ona opportunity Tanzania mpaka ategemee siasa au mshaara wa millioni mbili kwa mwezi tena naambiwa hiyo ndio bahati.

Vijana waache kutumika kisiasa kwa mataakwa ya wachache, watu wakiambiwa vipi ruzuku matamko ya chama, watu wakiambia uchaguzi matamko ya chama and those are the basic principles of utandawazi ndio ujue wazushi tu wenye maslahi, CDM ni SACCOS tu kwa sasa.

Mimi nasisitiza waache kuchukua hela za walala hoi kwenye mikutano it is immoral. Bado tunasubiri ahadi za marekani, ama sivyo mbali na SACCOS kama ilivyo sasa bali ntahitimisha ni walaghai pia poor CDM.
 
hahahahahahahaahahahahahahahahaahahaha

kelele za chura........................
Mkuu kuna vyura wengine kama wa Kihansi huwa wanapanda ndege, lakini kuna vyura wa uswazi wanapiga kelele masaa 24 na hawajui kama kuna daladala zinapiga ruti ya Mwenge- Bunju..... Chura mdogo eti anaipa taasisi kubwa kama CDM masaa 24 adhawaiz anaibomoa. Huyu hata baiskeli ukute hajawahi kuipanda.

Akili za mbayuwayu changanya na zako, says JMK, chairman CCM.
 
Makamanda wanabaguana teh teh teh!
 
Sasa mbona hili umekuwa msemaji wa ZITTO?... Haya umejipima leo? Umejenga CHAMA au umebomoa?

Ninakijenga. Wewe ni mnafiki, unakipaka mafuta kwa mgongo wa chupa.
 
Chadema kimeudhihirishia umma wa Watanzania kuwa si chama cha kisiasa ni chama cha wahuni.

Hivi unategemea nini katika chama kinachoendeshwa na DJ ambae fani yake kuu ni kuendesha kilabu cha usiku (night club)?

Uhuni tu.

hiiivyooo...!!
 
Mkuu sizani kama wataweza kuchukua hatua hao watu cz kwa namna yoyote ile Lema ana nguvu nyuma yake inayomuongoza kufanya yote haya tunayoyaona na watu hawa si wengine zaidi ya Mbowe (mwenyekiti) na Dr Slaa(katibu) Lengo kubwa hapa ni joto la uchaguzi wa chama na ule uchaguzi mkuu 2015

MY TAKE: Kwa namna yoyote ile CDM ni lazima kipambanue kama chama mbadala na mara moja waachane na hizi harakati kwani now sioni tofauti kati CCM na CDM au Lusinde na Lema sioni tofauti watu wengine hatuna vyama kutokana na mienendo hii ya akina Lema

Uongozi sasa waache mambo ya kihuni haya wanayoendesha kupitia kwa Lema haki itendeke kwa namna yoyote ile

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Si uende mtaa wa ufipa ukalalamike,watu walio desparate utawajua tu..mmepata hoja ya kukeshea mtandaoni,chama cheni kime underperform to div 0
sasa mmeongeza div 5,hopeless nyie.

Mkuu una hoja gan katika kukijenga chama, nakuvumilia una usingizi unaongea mashudu
 
Mkuu kuna vyura wengine kama wa Kihansi huwa wanapanda ndege, lakini kuna vyura wa uswazi wanapiga kelele masaa 24 na hawajui kama kuna daladala zinapiga ruti ya Mwenge- Bunju..... Chura mdogo eti anaipa taasisi kubwa kama CDM masaa 24 adhawaiz anaibomoa. Huyu hata baiskeli ukute hajawahi kuipanda.

Akili za mbayuwayu changanya na zako, says JMK, chairman CCM.

tehe tehe tehe tehe.....hahahaha
umenichekesha sana mkuu.
ni kazi sana kwake kukuelewa hapa ulichoandika, zaidi zaidi atadhani umemtusi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom