ZionGate
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 6,370
- 3,006
Sihitaji uniheshimu wewe huna mchango wowote kwenye maisha yangu...Mkuu usifikiri matusi yanakujenga, yanakushushia heshma.
Sihitaji uniheshimu wewe huna mchango wowote kwenye maisha yangu...Mkuu usifikiri matusi yanakujenga, yanakushushia heshma.
inawezekana cdm ilianza na shetani aliyepandikizwa kutoka ccm, sasa ni wakati wa kumkemea aondoke,ili chadema ismalize nae, lakni na shangaa ukoo wa panya unamtetea .Cahadema walianza na shetani watamaliza na shetani dhambi ya kunyanyasa watu wengine wanayo tu na elementi za damu ya watu wanazo tu.
mwigamba alionewa na kuteswa kisa kaandika kwenye mitandao halafu leo wao wamepanga kumchafua zitto kwa makusudi halafu wanajifanya wema.
Wewe tumia akilki hata kidogo!... Huwezi kuona ujinga na mgogoro wa viongozi wenzako na kuanza kuwakemea huko huko mtaani!Mkuu Ben Saanane Dr slaa huwa akikuta mijadala ambayo ana uwezo wa kujibu, hujibu. Hata katika hili hata angeweka post ya kukemea, maana mnapokuwa viongozi hata kama una uhuru wa kutoa mawazo yako lazma uangalie unayatolea wapi, kwa faida ya nan na risk zitokanazo. Lema kaniangusha.
Zitto angeshughulikiwa kwnye vikao vya chama, huko asingeweza kusema anaonewa, huku anashambuliwa hadi anacreate sympathy na jamii itamuona ananyanyaswa kumbe ana makosa. Nieleweke.
Bavicha ni kawaida yao kutukana na kuwapa majina watu kama wanavyowaita watu pandikizi pale wanapopishana kwa hoja.Mkuu unapoteza muda kunitungia majina yasiyo yangu
Sasa mbona hili umekuwa msemaji wa ZITTO?... Haya umejipima leo? Umejenga CHAMA au umebomoa?Mimi sio msemaji wa kila kitu. Sio kila jambo niseme, na wengine nao waseme
Unatafuta mchumbaee.. Haya mbembeleze.. Mjiunge naye huko mliko.Bavicha ni kawaida yao kutukana na kuwapa majina watu kama wanavyowaita watu pandikizi pale wanapopishana kwa hoja.
Uje hapa kesho na mada umejitoa na familia yako hapo kigoma hatukutaki tokaaaaaaaaaaaSubirin baada ya saa 24 utaona
Duh inasikitisha sana, kama Mnyika atacontrol mambo baada ya kupokea simu yako na kumueleza kuwa mambo haya yanaichafua chama. Jee alikuwa anangoja nini waki wote huo????
wote hao kitu kimoja, hii ni roject fukuza zitto chadema , alafu tufanye uchaguzi ndani ya chama , kwani zitto is game spoiler for Mbowe na slaa team. Na sidhani kama atafanya kitu chochote.
Mkuu wewe uza mandazi wenzako wauze karanga huwezi kumchafua mtu kama mnavyofanya halafu mkaachwa tu.Sihitaji uniheshimu wewe huna mchango wowote kwenye maisha yangu...
Tatizo we mmakonde unakurupuka saaana... Kama mlivyoingia mkenge kwenye suala la gesi... Soma maneno hayo kama yalivyo kwenye hoja ya mleta mada!!!! sixgates Today 22:01Kijana tafadhali usijifanye wewe punguani,kwani Josephine Mushumbuzi ni kiongozi Chadema?
mimi nimezaliwa nimeikuta ccm pekee na wala sijawahi kuhama kwenda chama chengine chochote kile cha wagema ulimbo.
Nalog off
Ninaye anaitwa froida.Unatafuta mchumbaee.. Haya mbembeleze.. Mjiunge naye huko mliko.
If two wrongs does not make one right why do u make ZZ right...
Mwambie uyo kada mwenzio kabugi...Bavicha ni kawaida yao kutukana na kuwapa majina watu kama wanavyowaita watu pandikizi pale wanapopishana kwa hoja.