Naona virus wako humu kibao!!!!Si umeishaambiwa Mbowe anaendesha Chadema kama familia yake, ruzuku ndiyo hizo zinanunua majengo Dubai na South Africa.
Naona virus wako humu kibao!!!!Si umeishaambiwa Mbowe anaendesha Chadema kama familia yake, ruzuku ndiyo hizo zinanunua majengo Dubai na South Africa.
[font color=red]MMU style[/color]
Salamabichi... You don't know yourself
Ukanda ni dhulma kubwa, tatizo Mwenyekiti wa Arusha si Mtu wa kwao.
Saccos ya wachaga? Najua unamaanisha chama cha wachaga! Dr. Slaa ni mchaga? Mzee Kimesera(masai) mwkt wa jumuiya ya wazee CDM Taifa naye ni mchaga? Professor Safari, Tundu lissu, Mnyika, Mdee, Heche, Wenje, Zitto, Millya na wengine kibao..JE hao Wote ni WACHAGA?!! Kajipange tena upewe buku 7 maana hapo umeropoka..
CDM ni mwiba mkali sana kwa CCM! Kila mbinu zinatumika ili kuisambaratisha CDM kama Ukanda, ukabila, Udini, Ugaidi, Ufisadi, mabomu na B7 Lumumba Project! Tayari mbinu hizi zimeshagota na zimeshindikana vibaya sana, kwani CDM ndio kwanza inashamiri!! Sasa wanapiga mayowe ya kutaka Demokrasia ndani ya CDM. Mbinu hii nayo itashindikana pia!!
Mambo ya magazeti bwana,kwanini wasituwekee na picha za hizo ngumi?
Mod mbona haya ni matusi pls take action
mwananchi upashukuna hamuuwezi ni kweli sasa munauza kama copy 40,000 hivi mukiwaacha mbali Nipashe na Tanzania daima lakini haina maana mukiendekeza ujinga wa shushu wenu Denis Msakky kuweka kichwa kisichokuwa na maudhui mutaanguka![]()
@Aminangalo
Bila shaka utatakiwa kutoa ushahidi wa habari ya uzushi kama hii. Muda huu, Mkiti wa Taifa, Freeman Mbowe yuko kwenye kikao. Hakuna kitu kama hicho ulichoandika.