Ndugu wadau,
Kwa wale wanaoijua CHADEMA tangu kuanzishwa kwake watakubaliana na mimi kuwa Tukio liliotokea kwa samson mwigamba kupigwa na kusingiziwa mambo kibao tena hayana ushahidi si la bahati mbaya lilikuwa limepangwa,kwa kuanzia mwaka 1995 kwenye mkutano mkuu wa CHADEMA wakitafuta mgombea urais , mwenyekiti mtei alivuta fomu na marehemu bob makani naye akavuta fomu, baada ya kura kupigwa na wajumbe Bob alimzidi mzee mtei mara mbili ya kura zilizopigwa , baada ya kuona hivyo , mwenyekiti wa leo wa CHADEMA kwa kipindi hicho akiwa bado na rasta kichwani alichomoa pistol na kupiga risasi hewani na mkutano ukavunjika, bob akiwa kwenye harakati za kutaka kugombea kamati kuu ya dharura iliitishwa na wakamsihi wamuunge mkono MREMA mgombea wa nccr mageuzi na pia mchaga mwenzao
Kama haitoishi hiyo baada ya afya ya mzee mtei kutetereka ilibidi uchaguzi uitishwe na ulikuwa na wagombea wawili Bob makani na Mzee Ndesamburo ambaye ndiye aliyempa pesa ben saanane akasomee uchungaji india na kura zilipopigwa kama kawaida Bob alishinda kwa kishindo, baada ya kuona hivyo wachaga wote na wengine wa kaskazini wakajipanga na kumsusia chama Bob na katibu wake Walid kabouru pamoja na kwamba alimpatia umakamu mwenyekiti DR SLAA na kabla sijaendelea napenda kutoa rai kwa Zitto kabwe anatakiwa awe makini sana na hawa jamaa , atakaposhinda tu uenyekiti wa CHADEMA Taifa wachaga wote na wau wa kaskazini watakisusa chama na ikiwezekana wakaanza kumhujumu asiwe muoga kuwafukuza hata kama waliwahi kuwa na vyeo gani.
Mbowe huyo huyo alitishia kupigana na chacha wangwe na waliwahi kukunjiana ngumi hasa baada ya chacha kuonyesha nia ya kuwa mwenyekiti, Hata hako kajengo cha chadema pale kinondoni kalinunuliwa enzi za Bob , mbowe kazi yake imekuwa ni kukodisha nyumba za Komu yule mkurugenzi wa fedha na uchumi zitumike kamaofisi
Heche na yeye wameshawahi kuzikunja na waitara, ben wa saanane kawahi kupigwa na mnyika na
TUHUMA ZA UKABILA
Tunaposema kuna ukabila CHADEMA hatusmi ili tujifurahishe,muulize mbowe kwanini alishindwa kufanya kazi na kabouru na kwa nini ofisi ya makamu mwenyekiti UFIPA haipo??,misukule isiyojitambua na isiyojibu lolote ambayo wengi wao wana degree za facebook watasema kuwa kabouru alinunuliwa, uliza wakati wa uchaguzi wa 2005 mbowe anagombea urais kwa helcopter, je alifika kigoma???, na mbowe kwa ushahidi wa macho yangu alimpa pesa serukamba kupitia kwa mbunge mmja wa chadema machachari ilimradi tu kaburu ashindwe ubunge
Deo meck alikuwa ni personal secretary wa mbowe, unajuwa waligombana kwa sababu gani ?? na nyumbani kwake alivamiwa mara tatu, kisa ni kuandika kitabu juu ya maisha ya chacha wangwe na kueleza ukweli bila kuficha.
Baada ya chacha Wangwe kufa, Mnyika alikuwa anakaimu ukatibu mkuu na aliulizwa swali na waandishi wa habari" chadema walimjua lini deus mallya??" mnyika alisema yeye hamjui deus mallya wanajuwana walikokuana na chacha wangwe ilhali Mnyika akiwa mkurugenzi wa vijana chadema alimpa safari za nje Mallya zaid ya 3, leo anadai hamjui kuna kitu kinafichwa hapa
Je kafulila,machali na mkosamali kwa nini walifukuzwa?? na pia kumbuka katika madiwani watano waliofukuzwa arusha wachaga wako wangapi??
TUJADILI HILI KISHA NITAENDELEA