@Aminangalo
Bila shaka utatakiwa kutoa ushahidi wa habari ya uzushi kama hii. Muda huu, Mkiti wa Taifa, Freeman Mbowe yuko kwenye kikao. Hakuna kitu kama hicho ulichoandika.
Kuelekea uchaguzi mkuu 2015 CHADEMA inatakiwa kuwa na taswira ya kuwa chama chenye uwezo wa kuongoza nchi.
Reply