Maskini Mwigamba...ameamua kujipoteza mwenyewe kwenye ulingo wa siasa.
Halafu mwenzao zana za kilimo mjanja kweli. Anawasakizia yakiwafika shingoni anapiga U-turn. Wanaumia peke yao kama ilivyokuwa kwa masalia. Nashangaa kwa nini watu hawajifunzi.