bucho
JF-Expert Member
- Jul 13, 2010
- 5,172
- 3,265
Yaani wamejipa kazi za vyombo vya dola......huu ni udikteta namba moja na uvunjifu mkubwa wa haki za binadamu.
Nawaonea huruma hili likifika kwa Mama Helen Kijo Mbowe na wenzake lazima wataburuzwa mahakamani.....yule mama hana mchezo na uvunjifu wa haki za binadamu.
Kwani hujui huyo mama nae ni chadema tu. Ni kikundi kimoja hicho kwahiyo hawezi kufanya lolote.