Mbowe, Mwigamba watwangana ngumi Arusha

Mbowe, Mwigamba watwangana ngumi Arusha

Nadhani umegunduwa kuwa ulicho andika mwanzo hukupaswa kukiandika huo ndio ustaarabu hongera sana. Lakini pia ujue hakuna chama kinacho kubali chalege za chama kingine lakini chalege ni lazima zijitokeze je kuzikabili chalege ni kwa kupigana na kunyanganyana simu na laptop. Wp mzee mtei wapi mzee ndesa wp mzee Arfi au nyie hamuheshimu hawa wazee?
Nakubaliana nawe lakini pia ni lazima tutofautishe chama kilichoshika dola na ambacho hakina dola.Chenye dola vyombo vya usalama vinatumika na ndio maana ni vigumu haya kutokea lkn naamini kwa CCM kingekuwa nje yangetokea makubwa zaidi ya haya hasa kwa kuwa kina ukwasi na kinakumbatia rushwa,isingekuwa kupokonya simu ingekuwa ni kuwasha shaba!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mm nilidhani ulifaham ubaya wa kutabiri mabaya kumbe hujafaham ubaya wake bado unataka kuwasha shaba!!!!! Kila mara tuna laani matumizi ya nguvu za ziada kwa washukiwa wa uhalifu ww bado unamtazamo wa kutumia shaba je kila mtu nae akiwasha shaba nchi itakalika? Mm nadhani busara hekima kuvumiliana kusameheyana nibora sana kuliko kuwasha shaba.
 
Nakubaliana nawe lakini pia ni lazima tutofautishe chama kilichoshika dola na ambacho hakina dola.Chenye dola vyombo vya usalama vinatumika na ndio maana ni vigumu haya kutokea lkn naamini kwa CCM kingekuwa nje yangetokea makubwa zaidi ya haya hasa kwa kuwa kina ukwasi na kinakumbatia rushwa,isingekuwa kupokonya simu ingekuwa ni kuwasha shaba!!!!!!!!!!!!!!!
mm naamini ccm inawasaliti wengi kuliko chama chochote cha siasa hapa tz na naamini usaliti huo ndio ulioipa cdm wabunge wengi na naamini cdm wamepata idadi kubwa ya wabunge sikwakuwa na sera nzuri sana au kuwa na viongozi wazuri sana hapana ni kwa usaliti wa wana ccm wenyewe lakini sijawahi kusikia kiongozi kanyanganya cm au laptop au kapigwa ktk kikao ambacho kinaongozwa na m/k taifa
 
Panapofuka moshi pana moto, viongozi wa cdm kuweni makini matumaini yetu ni makubwa kwa chama hiki
 
Chadema kupigana ni jambo la kawaida kabisa, hiyo ipo kwenye damu.
 
Chadema kupigana ni jambo la kawaida kabisa, hiyo ipo kwenye damu.
Kawaida hata wabunge uganda walitwangana,hko Kenya usiseme kabisa,spika wetu alimtandika mtu fulani hadi kuzimia hadi kumuonea huruma wakampa ukuu wa wilaya

Ova
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom