Mbowe mbaroni akidaiwa kutoa maneno yanayoashiria uchochezi, kuamsha hisia na chuki dhidi ya Serikali na Polisi. Aachiwa kwa dhamana

Akanyee ndoo huyu mbowe hajui kuna sheria za mkusanyiko


USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
Sheria hizo zipo kwa vyama vya upinzani tu mbona bashiru na pole pole hawazuiwi juzi pole pole alikuwepo Pemba walimu walilazimishwa na wafanya kazi wende ktk mkutano .. Japo hunaakili za kusoma lkn tumia japo za kuzaliwa ww usitumike kibuku 7

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kumbe bado hiyo ujinga inafanyika hao askari tuwatenge tu huku mtaani wanajikuta miungu watu kupelekeshwa pelekeshwa tu
 
Kuitetea sisiemu, unatakiwa uwe na akili za kiuenda wazimu.. Mwenye akili timamu hawezi kutetea mambo ya hovyo kabisa yanayofanywa na sisiemu na serikali yake..
 
.
tapatalk_1582299881767.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti haogopi kufa mbona siku ile pale kinondoni alikimbia risasi hadi ikaenda kumwua mtoto wa watu
Kumbe mlikuwa mnamlenga yeye,mkamkosa ikaenda kumuua binti wa watu!Mashetani wakubwa wamwaga damu za watu!
 
Huyo ndiye Saddam aliyekuwa rais wa Libya kumbe bado yuko hai hajafa ila iko siku atakufa na nchi hii itapumua. Hawezi kuishi milele.
 
Nyani Ngabu,
Unaongea nini ww muuza face, hebu kalisha chini mbolea hiyo, maana huna jipya.

Anhaaa!! Ahsante kwa kuthibitisha nilichokisema.

Unauliza naongelea nini? Hilo swali maana yake ni kwamba umesoma nilichokujibu lakini hujakielewa.

Ndo maana umeuliza naongelea nini na ukaleta vitusi vyako vya kitoto.

Tafuta matusi mapya.
 
Anhaaa!! Ahsante kwa kuthibitisha nilichokisema.

Unauliza naongelea nini? Hilo swali maana yake ni kwamba umesoma nilichokujibu lakini hujakielewa.

Ndo maana umeuliza naongelea nini na ukaleta vitusi vyako vya kitoto.

Tafuta matusi mapya.

Sina chochote nilichokuuliza kwa maana ya kutokukuelewa zaidi ya kukukejeli. Nimeona unaleta majigambo ya kihanathi, na reference za kipeasant kwa hiyo nimekupuuza.
 
Asubuhi kabla sijaenda kanisani dhamiri yangu inanituma nijadili hili alilotewa Mhe. Mbowe kule Hai.

Hivi Kiongozi kama Mbowe, mtu mstaarabu, mtu mvumilivu alipaswa kutendewa kihuni vile tena Askari Polisi wetu?

Hivi mpaka mnafanya mambo yale ya kihuni mlimchukulia Mbowe kama jambazi au?

Askari mambo hayo mtendayo ni chukizo na yanaleta chuki katika jamii ya Kitanzania na hayana afya kwa taifa.

Binafsi kitendo kile kilinikumbusha matendo mabaya ya Askari wa makaburu dhidi ya raia kule Afrika Kusini na nchi ikawa mstari wa mbele kupinga matendo yale.

Leo sisi kutenda kama makaburu ni AIBU KUBWA SANA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom