Mbowe mbaroni akidaiwa kutoa maneno yanayoashiria uchochezi, kuamsha hisia na chuki dhidi ya Serikali na Polisi. Aachiwa kwa dhamana

Kilichofanywa juzi ni UPUMBAVU!!!! NA kilifanywa na WAPUMBAVU

Sent using Jamii Forums mobile app
Hao ndio wanaofanya nchi iendelee kwa kasi ya jet.Viongozi wanaoamrisha askari kutenda jinai,kusababisha uvunjifu wa Amani kwa visingizio vya ajabu.
Wanapendwa sana na chama chao na aliyewateua,ni zaidi ya enzi za Kaburu Botha.
Nchi inaelelkezwa kwenye machafuko na vyombo vyake yenyewe just like that. You can't imagine what will happen next with this people.
 
Halafu leo wanaanguka ghafla eti wanamwomba Mungu!!why uogope kifo wakati umeshasababisha vifo vingi tu?Mh.Mbowe sio jambazi au ni mtu anayeweza kuikimbia nchi why polisi wale hawakumwambia kuwa aje kituoni mwenyewe kwa mahojiano kama wanaona amevunja sheria?na polisi wale mbona wanamkamata bila ya kumweleza sababu ya kukamatwa na haki zake?polisi wa makaburu pamoja na ushenzi wao walikuwa wanaheshimu sheria hii ya kumweleza suspect haki yake wakati wa kukamatwa,ndio maana mimi ninaabudu mizimu maana washenzi kama hawa eti wanapewa viti vya mbele kwenye nyumba za ibada na kuombewa eti watutawale kwa amani na haki(this is bushit),watawala wa kitanzania ni wanyama na makatili mno.
 
Back
Top Bottom