Mbowe: Masharti ya DP World na Bandari yanazuia Serikali kujitoa, kuahirisha, kusitisha au kuvunja Mkataba

mbowe na chadema mnachotakiwa sasaivi ni kuipigania Tanganyika tu, kwasababu kule zanzibar hamnaga kitu mnapata. hamna hasara yeyote mkiitosa zanzibar. yaani watu hawazidi hata milioni mbili watusumbue WAtanganyika zaidi ya 58 milions? kweli?
Wapiga kura ni 40% Hivyo Watu laki 7
 
Wajukuu wa Mitume wale ndio maana wamebarkiwa sisi hapa Mwanamalundi hana baraka zozote zaidi ya uchawi tu.
 
Moho tuachie timu yetu, umezidi utapeii ondoka kuanzia sasa tuiendeshe wenyewe
 
wale wazee wa CCM waliotaka kupindua meza nafiki wanaweza kuwa walikuwa sahihi, ingawa na wao waliboa sana baada ya kutaka kubadili katiba ili vipindi viwe miaka 7, ili mwenda aanze upya 2025 hadi 2039.

Nchi hii ina matatizo mengi mno, likipita hili linakuja na jingine.
Hahahah sasa kipi nafuu🤣
 
Hili sakata limeshushwa na Mungu liwe sababu ya kufanya mapinduzi matakatifu katika taifa letu. Tukilegeza kamba na hapa tumekwisha.
 
mbowe na chadema mnachotakiwa sasaivi ni kuipigania Tanganyika tu, kwasababu kule zanzibar hamnaga kitu mnapata. hamna hasara yeyote mkiitosa zanzibar. yaani watu hawazidi hata milioni mbili watusumbue WAtanganyika zaidi ya 58 milions? kweli?
Hili siyo jukumu la Mbowe na Chadema tu,ni jukumu letu sote Watanganyika
 
Nadiriki kusema sina imani na watanzania wanaotoka visiwani kuja kututawala. Kwao wanakutunza vizuri sana, huku ndio wanaharibu.

Umeme bure, mafuta bei chee, kodi bei chee... njoo bara sasa, kila zigo tunatupiwa wananchi. Rais lazima uumize kuchwa, utakua unabinafsisha kila kitu mpaka lini? Hao UAE mwaka 61 walikuaje? Imekuaje sasa wanaweza sie tunakwama?
 
Tunarudi pale pale kuwa Katiba mpya haikwepeki,hii ya sasa inampa kinga hashtakiki.
Haipo hiyo,

Amevunja Katiba hii iliyopo, itafutwe namna aondoke,

Aliapa kulinda Nchi na kuitetetea Si kuuza Kwa kipindi kisichojulikana.

Sa100 must go.
 
Ni lini watanzania tutaamka kutoka usingizini?
Kwanini tunaandika andika tu humu mitandaoni?
Kwanini tusiwe serious kuorganize maandamano kupitia hii mitandao?
Hawa watu inabidi tuwaondoe
Jamii forum, twitter, telegram,vyama pinzani na watu binafsi wanaharakati
Tunaweza kushare link ambayo itatapakaa mitandaoni kote kila mtu anapoingia mtandaoni akutane na habari inayohusu hili jambo na ili ajiandae kuandamana

Lakini viundwe vipeperushi vya kuelezea nini maana ya katiba na inafanya vipi kazi watu waelewe ila wapate sababu ya kuandamana
Mtu raia ukimuuliza katiba ni nini hajui anasikia tu katiba katiba tuamke jamani

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Je Raisi akiwa Mzanzibari?
Na kwa nini Rais awe Mzanzibari katika ardhi ya Tanganyika?
Sioni kama kuna sababu ya msingi ya Tanganyika kutawaliwa na Rais mwenye asili ya Zanzibari.

Maana jambo kama hilo haliwezi kutokea Zanzibar.
 
Back
Top Bottom