Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,900
- 95,534
Tatizo siyo Samia,tatizo linajulikana
Samia yupo had 2040 kkenge nyieTumuunge mkono Mbowe na Chadema kwa ujumla wake!
Huu mkataba unapaswa kuwa daraja la kuiondoa CCM na Bunge lake!
Hii inafaa kuwa ticket ya Samia kurudia Zanzibar!
Uhuni ufike mwisho sasa!
#kataawahuni
Jiwe kubwa la majiziSamia ni fisadi la wazi
View attachment 2650958
Ili aje mla nguruwe auwe watuTutawaambia nini wajukuu zetu watapotuuliza mlikuwa wapi haya yakitokea!!!!
Nchi ni yetu sote tukatae UOVU Kwa pamoja.
Sa100 must go!!!
Yupo mpk 2040, wagalatia hatuwapi tena nchi wauajArudi kwao. Zanzibari, Tanganyika hatuwezi kuvumilia uhuni wa namna hii!!
Samia yupo had 2040,then January makambaSa100 must go.
BabaDesi III 😅😅...Hivi hatuna namna ya Kuingia Mstuni, kuukomesha Uhuni huu ?
Mbowe, Lisu, Zito. Wakati Umefika Sasa wa Kuachana na Maridhiano ya Midomo Mitupu... Na tushike Silaha tuingie Msituni !
Ndivyo Wenzetu wanavofanya...
Waarabu hatuwezi kuwaepuka hata bwawa la nyerere na reli ya kisasa hao ndio wanao jengaNa bandari za Zanzibar hazibinafsishwi. Tanganyika tuko mikononi mwa Mwarabu kwa miaka hiyo mnayoijua wenyewe.
Bwawa la Nyerere pia linajengwa na waarabu.Au waliposaini hawajua Egypt ni waarabu?Waarabu hatuwezi kuwaepuka hata bwawa la nyerere na reli ya kisasa hao ndio wanao jenga
Ni wewe na wenzako, lakini kuna zaidi ya wewe na wenzako wameongezeka. so hakuna kilichohribika bali ameongeza wafuasi.Katika wanasiasa ambao niliwaamini sana na kuwasifia kwenye vijiwe vya kahawa mmojawapo ni mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (chadema). Kumbe ni chui aliyejificha ndani ya ngozi ya mbuzi. Ulipokuja mkataba wa DP world joto lake limemtoa nje na mbuzi na kondoo wote tutamkimbia.