Ndugu Unalionaje hiyo thread ya Urrilo ya swali la Drugs kuuzwa kwenye Club ya Mhe Mbowe, Jee naye atuhumiwe kama mhusika wa kuuza madawa ya kulevya?????
Hiyo ni Pembe ya Faru, ya Tembo hii ni Mpya sana, naona huu ni continuation ya kupakana matope
wachina wanajua
Kuna dawa za kuongeza nguvu za kiume zinaitwa KIFARU kidonge kimoja kinauzwa 2500/= pale Lumumba
Ni katika kuchangia hotuba ya mali asili na utalii!amesema vyombo vya usalama na viongozi waandamizi wa chama na serikali ni wahusika wakuu!amesema kilo moja ya meno ya tembo inauzwa kati ya dola 3500 mpaka 4500 hali inayohatarisha usalama wa tembo hapa nchini!
Were you reading my mind? lakini zile tusk zina kazi maalum ya kuijidifend kwa elephant sijui itakuwaje wasipokuwa nazo though hazizuii risasi na mitego ya majangiri!Hivi hakuna technolojia ya kuwang'oa meno wakawaacha waendelee kuishi?. ..
Very honest post ingekuwa practical enzi za Mwalimu zama izi watu wanashindana kupiga DEAL uzalendo tupilia kuleNdugu utatusaidi sana kutuelimisha, hivo hayo meno yakisagwa yanatumika kwenye kitu gani. Hii ni mpya sana. ina maana Mh. Mbowe hodari kwa kujua usafirishaji wa UNGA, Na kama Mheshimiwa anajua kuna kiwanda hapa nchini na huo unga unasafirishwa kwa ndege:
Jee Kwa nini mpaka sasa hajapeleka riporti polisi ili hicho kiwanda kikamatwa na hatu kuchukuliwa, Pili inaonyesha kuna data za usafirishaji na wanao husika ambao anawajua, mbona anaficha siri, jee is he not an accessory to the crime or a Partener to a deal that has gone sore, na hiyo pia si kosa. Au haya ni majungu anayojengwa.
- Ina maana anajua kiwanda kilipo, ana anastahaki ya kuwajulisha Usalaama wa taifa au wahusika.
- Ndege na wanazo zisafirisha, hii pia angetoa riporti au kuzitaja hizo ndege au hao wahalifu.
Na kama ni kweli basi inamaanisha Mbowe hana imani na Tanzania Nzima, kwani Tz sio CCM wala Chadema ni Nchi yetu wote.
If True what a contradictory politician with a very low vision, which i do not want to believe that he said what is implied here.
Yaani kuna watu wameshajimilikisha hii nchi kwa kweli. Halafu kuna mijitu inajidai imekunywa maji ya Kijani bado....
kumbe ndio maana fast jet safari haziishi na mara nyingi anaambatana na kinana
Hivi hakuna technolojia ya kuwang'oa meno wakawaacha waendelee kuishi?. ..
Hivi hakuna technolojia ya kuwang'oa meno wakawaacha waendelee kuishi?. ..
Hivi hakuna technolojia ya kuwang'oa meno wakawaacha waendelee kuishi?. ..