Mbowe:Kuna kiwanda cha kusaga meno ya tembo nchini!

Mbowe:Kuna kiwanda cha kusaga meno ya tembo nchini!

hasante, hilo jambo nimelifikiria pia, kama jambo hilo linawezekana bora likatumika meno yavunwe bila kumuua tembo labda tutawanusuru tembo wetu.


Lakini sina uhakika kama wakiwang'oa hayo meno unakuwepo uwezekano wa kuota tena. Kama ndivyo nadhani wasingekuwa wakiuawa. Mi nadhani sababu ya kuwaua ni kwa majangiri kupata urahisi wa kuwang'oa hayo meno. Si rahisi ndovu akakubali kung'olewa meno akiwa hai otherwise jangiri anakuwa anahatarisha maisha yake
 
Ushahidi upo, mahakama zipo, sijui kwa nini kesi hii inapelekewa wananchi au ndo siasa zetu hizi... Watanzania ni wasikilizaji wazuri wa ''korasi'' Mie naona Chadema kama mnachelewa vile, hebu pelekeni hawa jamaa mahakamani ili watu tuanze kupiga chinja hata kabla ya 2015!!.. kunyogana ni mbali sana tunaweza kuta hata wauza kete kwenye kumbi za disco wanaathirika pia... nimewaza tu
 
Acha kupotosha, nimekuwa naangalia live. Aliuliza kwa nini wabunge wa magamba wanajiandikisha kuchangia halafu hawatokei? Kwa nini muda huo wasipewe wabunge wa upinzani wachangie hoja badala ya kupoteza muda wa bunge
 
Kinana anauwezo mzuri wa kuongoza maccm kumaliza tembo wote nchini.
 
mbuge wa hai freeman mbowe anaonekana kutojua vizuri kanuni za bunge ni baada ya leo mchana kuomba muongozo ambao haupo kikanuni.akiwa kama mkuu wa kambi ya upinzani bungeni anauwezo mzuri wa kuwaongoza wabunge wake?
Unafiki ni kazi sana, hata kuandika kiswahili vizuri umeshindwa?
 
Ni katika kuchangia hotuba ya mali asili na utalii!amesema vyombo vya usalama na viongozi waandamizi wa chama na serikali ni wahusika wakuu!amesema kilo moja ya meno ya tembo inauzwa kati ya dola 3500 mpaka 4500 hali inayohatarisha usalama wa tembo hapa nchini!

Du kumbe biashara nzuri hivi!...Kwa shilingi ya kitanzania ni kati ya milioni 5.6 hadi 7.2 kwa kilo!!

KINANA ndio maana kanunua Meli! Kwa sababu jino moja kubwa linafika hadi kilo 30 na zaidi kwa tembo mkubwa!!
 
Mkuu watapataje mlo wao kama wataamua kuwatoa meno
Ndugu yangu nadhani watu wa SUA wanaweza saidia. Naona selikali haina nia ya kukomesha janga hili, angalia wanavo kanusha kwa nguvu zote wakati porini tembo wakiuliwa kwa kasi ya ajabu.
 
Acha kupotosha, nimekuwa naangalia live. Aliuliza kwa nini wabunge wa magamba wanajiandikisha kuchangia halafu hawatokei? Kwa nini muda huo wasipewe wabunge wa upinzani wachangie hoja badala ya kupoteza muda wa bunge

kama kweli unafuatilia alichokiuliza unadhani ni kitu sahihi au anataka asikike tu akiongea,umeona alivyopata aibu baada ya mwenyekiti kutolea ufafafanuzi akaonekana hana anachojua ni empty.
 
Hivi hiyo buku 7 ni kwa kila post mkuu bungeni au?huu nao ni ufisadi unaopaswa kukemewa kwa nguvu zote.
 
mbuge wa hai freeman mbowe anaonekana kutojua vizuri kanuni za bunge ni baada ya leo mchana kuomba muongozo ambao haupo kikanuni.akiwa kama mkuu wa kambi ya upinzani bungeni anauwezo mzuri wa kuwaongoza wabunge wake?

Mnaweweseka kwa sasa,msigwa anasema aritalajia nchimbi angeomba ushahidi,na sio kuleta longolongo,mwaka huu mtakiona cha moto.
 
Naanza kuona kwamba hili tatizo ni kubwa sana kuliko wengi tunavyolidhania. Panahitajika juhudi za makusudi kwenye hili tatizo vinginevyo wanyama hawa watabaki historia tu.
 
Kinana anauwezo mzuri wa kuongoza maccm kumaliza tembo wote nchini.

nadhani kinana anakunyima usingizi na kwa hilo hujamkomoa atawapa shida sana mi ntaendelea kuwaona mnavyopata shida kuteteana,zito tu kawashinda hadi mkahamia kwa mama yake kinana ndo mtamuweza.
 
utaumwa sana kwa huu wako utumishi usio rasmi unashabikia hata vilivyochuja na bado utaumwa sana.
hata sentensi moja inakushinda? Soma ulichoandika, Shame on you...
 
Back
Top Bottom