Mkuu Naomba kuuliza, Huo unga una manufaa gani kwa binadamu?
Kamanda Mbowe amesema hii ni organized crime, lazima serikali ije na mkakati au mpango maalum wa kuushughulikia uhalifu huu!
Amewauliza jamaa, "hivi ninyi kama mawaziri na serikali mnajisikiaje mnapoambiwa ni 7 years to come ndovu wote watakuwa wametoweka nchini, miaka michache ijayo barafu ya mlima Kilimanjaro itakuwa imeyeyuka yote na haitakuwepo tena, na utalii ndiyo sekta namna moja katika kutuingizia fedha za kigeni, hivi ninyi serikali ya CCM mnajisikiaje mkisikia habari kama hizi."
Mnafiki mkubwa,yeye mwenyewe anaruhusu matumizi ya madawa ya kulevya wazi wazi kwenye CLUB yake ya usiku.
hata sentensi moja inakushinda? Soma ulichoandika, Shame on you...
tembo humsogelei kirahisi namna hiyo atakubutua ,na akishakuua within ziro seconds anakuzika na atakaa hapo alipokuzika 3days ndio aondokehivi hakuna technolojia ya kuwang'oa meno wakawaacha waendelee kuishi?. ..
HWAJI KWENYE HIZI MADA KWANI UMEONA NENO Chadema ???????? ndio hutia mguu wapi ZeMarcopolo wapi Ritz zomba na wapuuzi wengineWazee wa buku 7 Lumumba mpo?
Lete ushahidi jamvini!usihukumu pasipo takwimu.
A lie has speed,but truth has endurance
Mheshiwa Mbowe amewambia magamba kwamba wao wasifikri meno ya tembo inasafirishwa yakiwa mazima. Kawaambia inasagwa na viwanda viko humu humu nchini. Unga huo unasafirishwa kwa ndege na viongozi wa serikali wanashiriki ndio maana hali inaendelea kuwa mbaya kila kukicha.
Katika kosa ambalo magamba hawatakaa walisahau ni kumchagua kinana kuwa kiongozi wao
kweli aliesema ''Cowards may die many times before their DEATH'' yuko sahihi!!
kupenda kubaya,kipofu unaweza kusema ni chongo!!!hujui kama Mboe anamiliki danguro??? ngono inanunuliwa kama karanga na unaweza kula hapohapo live,unga kama kawaida.we upo dunia dani!!!
Ni katika kuchangia hotuba ya mali asili na utalii!amesema vyombo vya usalama na viongozi waandamizi wa chama na serikali ni wahusika wakuu!amesema kilo moja ya meno ya tembo inauzwa kati ya dola 3500 mpaka 4500 hali inayohatarisha usalama wa tembo hapa nchini!