Mbowe:Kuna kiwanda cha kusaga meno ya tembo nchini!

Mbowe:Kuna kiwanda cha kusaga meno ya tembo nchini!

Nasikia unga wake una soko kubwa sana nchi za asia hasa uchina wanatengenezea dawa za kuongeza nguvu za kiume

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Kuonesha kuchoshwa na hili Mbowe locate kiwanda kusanya watu kwa maandamano najua polisi watawafuata mkifika eneo la kiwanda muwaambie polisi hawa wenye kiwanda ndo wa kuwakamata na kiwanda kifungwe rasmi
 
Tulipiga EPA makombora wee, sasa wanakula kwa mirija mipana na mirefu kuliko ile ya EPA!!! Halafu ni lazima wataanzisha viji department overlap ili kuweka mabilion ambayo you will never notice an impact!!!!! Sijui tunaelekea wapi sisi wanadamu wa Tanzania!!?? Wale wanaotuongoza wameshatupotezea katikakati ya bahari, tunapiwa na mawimbi na hatujui tunaelekea pande ipi ya dunia!!! Wao walishapanda meli ya maisha bora na matumaini na kutuacha tunataabiaka ndani ya lindi la mawimbi ya umaskini uliokithiri. Miaka 30 ijayo tutakuwa hatuna hata rasilimali itakuwa imebaki.
 
Vita mpaka lini, cha msing ni angetaja live, maana hapo kinachosubiriwa sasa ni rushwa2 azibwe kidomo.
 
Mnafiki mkubwa,yeye mwenyewe anaruhusu matumizi ya madawa ya kulevya wazi wazi kwenye CLUB yake ya usiku.

Katka wajinga utaitwa mheshimiwa,kama unalijua hilo na ccm yako ndiyo ina dola kwanini msiwakamate na kuwapeleka mahakamanii wahuska?pia huitaji darasa la saba kujua kuwa kosa halifutiki kwa kujibu kosa kwaulize wabunge wenu kama wanalijua wakusaidie.
 
Mheshiwa Mbowe amewambia magamba kwamba wao wasifikri meno ya tembo inasafirishwa yakiwa mazima. Kawaambia inasagwa na viwanda viko humu humu nchini. Unga huo unasafirishwa kwa ndege na viongozi wa serikali wanashiriki ndio maana hali inaendelea kuwa mbaya kila kukicha.

"mbowe amebit the dog on the event"
 
Mheshiwa Mbowe amewambia magamba kwamba wao wasifikri meno ya tembo inasafirishwa yakiwa mazima. Kawaambia inasagwa na viwanda viko humu humu nchini. Unga huo unasafirishwa kwa ndege na viongozi wa serikali wanashiriki ndio maana hali inaendelea kuwa mbaya kila kukicha.

Kama kawaida yake!!! na akiombwa aonyeshe hivyo viwanda vya kusaga meno ya Tembo, ataseme 'sio kazi yangu serikali si mna vyombo fanyeni uchunguzi'
 
Back
Top Bottom