imebidi nicheke tu, jamaa ni noma yaani akikamatwa anavua nguo anasema sio mimi aliyekamatwa alivaa shati la kijani..Kinana atasema kiwanda ni chake lakini hayo meno sio yake

Ndugu utatusaidi sana kutuelimisha, hivo hayo meno yakisagwa yanatumika kwenye kitu gani. Hii ni mpya sana. ina maana Mh. Mbowe hodari kwa kujua usafirishaji wa UNGA, Na kama Mheshimiwa anajua kuna kiwanda hapa nchini na huo unga unasafirishwa kwa ndege:
Jee Kwa nini mpaka sasa hajapeleka riporti polisi ili hicho kiwanda kikamatwa na hatu kuchukuliwa, Pili inaonyesha kuna data za usafirishaji na wanao husika ambao anawajua, mbona anaficha siri, jee is he not an accessory to the crime or a Partener to a deal that has gone sore, na hiyo pia si kosa. Au haya ni majungu anayojengwa.
- Ina maana anajua kiwanda kilipo, ana anastahaki ya kuwajulisha Usalaama wa taifa au wahusika.
- Ndege na wanazo zisafirisha, hii pia angetoa riporti au kuzitaja hizo ndege au hao wahalifu.
Na kama ni kweli basi inamaanisha Mbowe hana imani na Tanzania Nzima, kwani Tz sio CCM wala Chadema ni Nchi yetu wote.
If True what a contradictory politician with a very low vision, which i do not want to believe that he said what is implied here. [/QU
OTE]
MAELEZO YAKO SAWA NA MTOTO ANAYE ANZA KUTAMBAA COZ NIMEJARIBU KUFIKIRIA SANA WEE TZ UNAIJUWA AU NDIO UMESHUKA AIRPORT LEO TUME MUELEWA VIZURI MBOWE WE KAA PEMBENI MAHAKAMA NI SISI WANA NCHI
Maelezo yako kayatowe pande za lumumba na uwape wale wazee wano kunywaga kahawa pale kwenye bustani za lumumba
Hapo kweli lazima Dentist Kinana azimie. Utawasikia wanapiga kelele badala ya kuomba ushahidi.
kamanda mbowe amesema hii ni organized crime, lazima serikali ije na mkakati au mpango maalum wa kuushughulikia uhalifu huu!
Amewauliza jamaa, "hivi ninyi kama mawaziri na serikali mnajisikiaje mnapoambiwa ni 7 years to come ndovu wote watakuwa wametoweka nchini, miaka michache ijayo barafu ya mlima kilimanjaro itakuwa imeyeyuka yote na haitakuwepo tena, na utalii ndiyo sekta namna moja katika kutuingizia fedha za kigeni, hivi ninyi serikali ya ccm mnajisikiaje mkisikia habari kama hizi."
CCM hawakuomba mwongozo ama taarifa?Kamanda Mbowe amesema hii ni organized crime, lazima serikali ije na mkakati au mpango maalum wa kuushughulikia uhalifu huu!
Amewauliza jamaa, "hivi ninyi kama mawaziri na serikali mnajisikiaje mnapoambiwa ni 7 years to come ndovu wote watakuwa wametoweka nchini, miaka michache ijayo barafu ya mlima Kilimanjaro itakuwa imeyeyuka yote na haitakuwepo tena, na utalii ndiyo sekta namna moja katika kutuingizia fedha za kigeni, hivi ninyi serikali ya CCM mnajisikiaje mkisikia habari kama hizi."
Kinana karibu JF uone unavyotisha kama Mjomba Mkude
Ndugu utatusaidi sana kutuelimisha, hivo hayo meno yakisagwa yanatumika kwenye kitu gani. Hii ni mpya sana. ina maana Mh. Mbowe hodari kwa kujua usafirishaji wa UNGA, Na kama Mheshimiwa anajua kuna kiwanda hapa nchini na huo unga unasafirishwa kwa ndege:
Jee Kwa nini mpaka sasa hajapeleka riporti polisi ili hicho kiwanda kikamatwa na hatu kuchukuliwa, Pili inaonyesha kuna data za usafirishaji na wanao husika ambao anawajua, mbona anaficha siri, jee is he not an accessory to the crime or a Partener to a deal that has gone sore, na hiyo pia si kosa. Au haya ni majungu anayojengwa.
- Ina maana anajua kiwanda kilipo, ana anastahaki ya kuwajulisha Usalaama wa taifa au wahusika.
- Ndege na wanazo zisafirisha, hii pia angetoa riporti au kuzitaja hizo ndege au hao wahalifu.
Na kama ni kweli basi inamaanisha Mbowe hana imani na Tanzania Nzima, kwani Tz sio CCM wala Chadema ni Nchi yetu wote.
If True what a contradictory politician with a very low vision, which i do not want to believe that he said what is implied here. [/QU
OTE]
MAELEZO YAKO SAWA NA MTOTO ANAYE ANZA KUTAMBAA COZ NIMEJARIBU KUFIKIRIA SANA WEE TZ UNAIJUWA AU NDIO UMESHUKA AIRPORT LEO TUME MUELEWA VIZURI MBOWE WE KAA PEMBENI MAHAKAMA NI SISI WANA NCHI
Maelezo yako kayatowe pande za lumumba na uwape wale wazee wano kunywaga kahawa pale kwenye bustani za lumumba
Mbowe hawezi kupeleka Ripoti Polisi kwni Polisi, Serikali, Usalama wa Taifa na Ccm ni Genge moja. Na ikiwa Unawashwa na Mbowe kusema kwamba kuna Viwanda vinasaga Meno ya Tembo na Kusafirisha nje ya Nchi basi waambie Polisi Wamfungulie Mashtaka kwa kujua jambo kama hilo lakini alinyamaza!
Sio kazi ya Mbowe kufanya Uchunguzi kuhusu Uharamia unaofanywa na Kinana na Serikali ya Ccm. Mbowe ameshafikisha Ujumbe kazi ni kwa Polisi kufanya Uchunguzi na kuwakamata wahusika.
Mbona Mwigulu Mzinzi Aliropoka mwaka jana kwamba anao Mkanda wa Video unaoonyesha Viongozi wa Cdm wakipanga Mauaji ya raia lakini hamkumwambia apeleke Ushahidi Polisi? Mkuki kwa Nguruwe.........lakini kwa Binadamu.....!
Aliekuwa Katibu Mkuu wa Ccm MKAMA ktk kampeni za Uchaguzi mdogo wa Jimbo la Igunga 2011 alisema kwamba Chadema wameingiza Magaidi kutoka Somalia,Palestina na Lybia.
Je yeye alishindwa nini kuripoti Polisi??
MUNGU IBARIKI TANZANIA!!!!
MUNGU IBARIKI CHADEMA!!!!
makene, mawaziri hawajari kwa sababu baada ya miaka 20 ijayo hawatakuwepo duniani - who cares about the future? na hata hao ndovu by the time wananisha mtu ana mabillion ya dola sasa tatizo lipo wapi?Kamanda Mbowe amesema hii ni organized crime, lazima serikali ije na mkakati au mpango maalum wa kuushughulikia uhalifu huu!
Amewauliza jamaa, "hivi ninyi kama mawaziri na serikali mnajisikiaje mnapoambiwa ni 7 years to come ndovu wote watakuwa wametoweka nchini, miaka michache ijayo barafu ya mlima Kilimanjaro itakuwa imeyeyuka yote na haitakuwepo tena, na utalii ndiyo sekta namna moja katika kutuingizia fedha za kigeni, hivi ninyi serikali ya CCM mnajisikiaje mkisikia habari kama hizi."
wadau:
.... naanza kuwa na wasiwasi na kule ivory room....huenda rire rijangili ritakuwa rimefika na huko....
Kamanda Mbowe amesema hii ni organized crime, lazima serikali ije na mkakati au mpango maalum wa kuushughulikia uhalifu huu!
Amewauliza jamaa, "hivi ninyi kama mawaziri na serikali mnajisikiaje mnapoambiwa ni 7 years to come ndovu wote watakuwa wametoweka nchini, miaka michache ijayo barafu ya mlima Kilimanjaro itakuwa imeyeyuka yote na haitakuwepo tena, na utalii ndiyo sekta namna moja katika kutuingizia fedha za kigeni, hivi ninyi serikali ya CCM mnajisikiaje mkisikia habari kama hizi."
Mnafiki mkubwa,yeye mwenyewe anaruhusu matumizi ya madawa ya kulevya wazi wazi kwenye CLUB yake ya usiku.