Mbowe kulipua ufisadi wa Bomba la Gesi

Mbowe kulipua ufisadi wa Bomba la Gesi

Heri wawe na Intelejensia Kali maana iliyopo ipo kwa maslahi ya viongozi. Leo Askofu wa Anglikana Zanzibar akihubiri TBC amesema wazi Rais asicheke wakati watanzania wanatarajia makubwa kwake. Pia asiwe na uvumilivu kwa watu wasio tambua nafasi zao kwa kudharau wananchi KWA dhuluma zao. Tembo wanaisha lakini wafanyabiashara wakubwa na vigogo wa nchi hii ndy wanahusika kizazi kijacho kitajifunza historia kuwa tanzania ilikuwa inaongoza lwa tembo afrika lakini sasa tumebakiwa na picha
 
Kwi kwi kwi kwi kw lol!!!! I know what I am talking about with supporting evidence. Akili yao ndipo ilipoishia hapo kujifanya unanifahamu kumbe hunijui hata chembe. Kwa kuwa wewe ni robot mpaka uandikiwe nini cha kuandika hapa ili uweze kupata ujira wako wa buku basi unadhani kila mtu naye ni robot hahahahahahahah haya pita Lumumba kachukue sahani yako ya ubwabwa.

RAW = Robot At Work!
 
jadili hoja sio pasonalities

Hoja ipi ? Kwani Ufisadi wa Mbowe juu ya Ruzuku na pesa za misaada na kubeba pesa kwenye kiroba toka Stanbic bank na kuhusika na kifo cha chacha wangwe si hoja? au ni hoja ipi unaitaka? Mbowe mwenyewe ni Fisadi iweje atake kujidai kuwalipua watu wakati yeye si mtu Saafi !
 
Pole sana endelea kuwasikiliza hawa jamaa? Ipo siku wataambia mje na wake zenu, hawafai kuongoza nchi hata wiki moja.

Kaka unakimbia hoja?

Me sina chama wala sina upande. Sina ninaemsikiliza zaidi ya mwingine. Mungu amenijaalia utashi wa kuhoji na kuchambua kabla ya kuamua kufuata

Umekwepa hoja zangu kwa kuhukumu badala ya kujibu
 
hivi mnalipwa kiasi gani mnavyoandika haya?

Wee fisadi mkubwa ndiyo maana kila kitu unadhania kulipwa tu. Hakuna moyo wa uzalendo? Kupenda watu? Kuonea huruma mamilioni ya WaTZ wanaokufa bila sababu? Wasio na maji wala umeme?
Unajua Somalia watu wengi wana umeme kulko Tanzania?Utasema sababu ni nini? Au unajali kulipwa tu? Pusi wahed weee na usiniletee mental diarrhoea yako hapa. Mimi nina hasira na uozo wa nchi yangu. Naomba tu siku moja WaTZ waondoe woga watake haki ya maisha bora kwa nguvu. Siku hiyo wewe na wenzako hamtaishi. Hata ukiwa nani.
 
Hoja ipi ? Kwani Ufisadi wa Mbowe juu ya Ruzuku na pesa za misaada na kubeba pesa kwenye kiroba toka Stanbic bank na kuhusika na kifo cha chacha wangwe si hoja? au ni hoja ipi unaitaka? Mbowe mwenyewe ni Fisadi iweje atake kujidai kuwalipua watu wakati yeye si mtu Saafi !
sasa kabeba si mumkamate mbona majina mmeyaficha ?mbona ya mkombozi mliyatoa au kwa sababu ni dagaa tu huku nyangumi wakiwa mmeyaficha
 
wahisani? waelezeni wananchi bana, hizi habari za wahisani ni tabia za kujikomba

inafaa hao wahisani nao wapewe report na Tabia za hao wambea kuwa nao ni mafisadi wakubwa pesa za Ruzuku wanazimalizia kwenye mechepuko ili hao wahisani wajue kumbe hata akina mbowe hawana sifa za kuwakosoa wengine. R.I.P chacha wangwe.
 
ccm lazima wasalimu amri tu maana kuna ufisadi wa bomba la gesi,sukari na NBC,katiba mpya etc
 
sasa kabeba si mumkamate mbona majina mmeyaficha ?mbona ya mkombozi mliyatoa au kwa sababu ni dagaa tu huku nyangumi wakiwa mmeyaficha

Mbowe watu wamemfichia Aibu tu, subri mda ukifika kila kitu kitaanikwa.
 
ccm lazima wasalimu amri tu maana kuna ufisadi wa bomba la gesi,sukari na NBC,katiba mpya etc

Kwenye Katiba hapo pana msala lakini huko NBC bank waulizeni akina Mzee wa ipp kwani Wanasema ndiye chanzo cha NBC bank kuwa mahututi,! Huko kwenye Sukari bado ni tetesi hata bomba la Gesi nalo ni Tetesi.
 
matusiiii mbwembwe siyo kuongoza injchi mtajuta ccm ccm juuu juu zaidi piya mhongo hatoki kama mbiwe kachukuwa viti maalum kapeleka dubai .wazitumbuwa ma biliyoni.na hakutoka.bado kaenda mombasa kachuwa za APTL.mbona hakutolewa??? mwaka cha mwiko mtakiona .hii inchi siyo ya wachaga.
 
inafaa hao wahisani nao wapewe report na Tabia za hao wambea kuwa nao ni mafisadi wakubwa pesa za Ruzuku wanazimalizia kwenye mechepuko ili hao wahisani wajue kumbe hata akina mbowe hawana sifa za kuwakosoa wengine. R.I.P chacha wangwe.

Sorry ila ni tabia ya kujikomba, i think kwa lugha hii ya wahisani naona dalili za nchi kuuzwa mapema hata kabla ya ndoto zao za kuingia ikulu hazijafika
 
watafanyaje sasa wakati wasiposhirikiana na wahisani hakuna mpunga?
Sitaki kujadiri hii issue kikabila, ila wachaga wanatabia ya hila ya kujipendekeza pendekeza ili mambo yao yaende, japo ni ngumu sana maana hao wafadhili nao watawabana wakati ukifika
 
Back
Top Bottom