Mbowe kulipua ufisadi wa Bomba la Gesi

Mbowe kulipua ufisadi wa Bomba la Gesi

Pesa za escrow Mbowe na slaa picha zao zipo Stanbic wakibeba pesa kwenye kiroba mda ukifika kila kitu kitaanikwa usiwe na haraka jinga kubwa ni wewe na Wazazi wako ambo wote ni vichwa vya panzi

nani? mwingine jk na mkewe mama salma tuta Wa adhibu wote waliotuibia hizo fedha.....
 
Haya majibu msiyashangae maana hata mawaziri wanatoa majibu ya hovyo kama haya.
Majibu ya hovyo, kama ya yule Waziri Tibaijuka, ambaye alidiriki kuitisha Press conference na akatamba sana kuwa hajiuzulu ng'o na iwapo atathubutu kufanya hivyo JK atamshangaa sana!

Hata hivyo cha kushangaza sana, baada ya siku 2 tu toka atambe hivyo, JK kwenye kikao cha wazee wa CCM wa Dar, akambwaga huyo mama!
 
Ukabila wenu ndani ya Chadema umeukana? Mdee,mnyika, lema na kileo ni ndugu wa DNA wa mbowe na hao hasa Mnyika , lema mrema wa bungeni na kileo hawa Laana ya Chacha wangwe itawaganda milele kwani wanajua walichokifanya. Mbowe ni Fisadi mkubwa na pesa za Ufisadi huwa anawagawia CC wake ili wamsaidie kupambana na wapinzani wa ndani pindi wakijitokeza, kabla ya chochote kwanza aludishe mapesa ya ruzuku ambayo amekuwa akijimegea kifisadi na kila aliyemgusa alikumbwa na Majanga R.I.P chacha wangwe.

unachangia mada gani we mwehu,haya ndo makina Asumpta
 
Viongozi wa chadema wezi sana, hapo hawajashika nchi, ruzuku peke yake tu, fuso 600m pikipiki manunuzi 1.7m@ lakini tender ya kuweka logo za M4C tenda kapewa Mtei na kila pikipiki logo 1m lol! Kila mwezi wanapata tuzuku 232m lakini mikoani hazifiki, ofisi wamepanga kinondoni mtaa wa ufipa, kwa mateja na nyuma ya makaburi ambayo ni chimbo la dada poa, kisa unafuu wa kodi. Lol.....

ulitaka wapage postal ili wafuje fedha za ruzuku we kijana akili yako maandazi sana .....
 
Safari hii lazima wapoteane, ni mwendo wa bandika bandua wakija kushituka tayari October 2015.
 
Nipo kichwani mwako nimekufanya ukariri kuwa Mbowe ni Mungu hana Dhambi na kila lisemwalo ni kama anasingiziwa.

acha kutapatapa hivi huwa hamuoni aibu kubisha vitu ya kweli ......
 
Safari hii lazima wapoteane, ni mwendo wa bandika bandua wakija kushituka tayari October 2015.

Ndivyoo mnavyojidanganya hivyo? Hivi kwa akili yako Mbowe anaweza kujenga hoja gani ya maana?
 
ulitaka wapage postal ili wafuje fedha za ruzuku we kijana akili yako maandazi sana .....

Kwa kukaa pale chimbo la mateja na kila siku asubuhi wanafagia condom wamefanya kitu gani maana hata mishahara ktk mikoa hawatoi ofisi ya Iringa mmefukuzwa kisa kodi? Aibu sana halafu eti chama kikuu cha upinzani Tanzania lol...
 
Kuna uzi humu utafute wa Deus utapata kila kitu.

Aisee Kama unachotetea ni sahihi basi nalazimika kuamini (though nilikuwa siamini) kuwa serikali yako ni dhaifu Sana

Inawezaje kumuachia mtu "muuaji" kuendelea kuwa raia huru na zaidi kuwa kiongozi wa chama cha siasa ambacho kinapokea ruzuku?

Nikubalie kuwa serikali yako ni dhaifu so I can buy on your cheap majitaka politics
 
umekuja wewe pimbi ulikuwa kwenye uzinzi nini?

wewe mpumbavu kweli. Mwanaume mzima unakubali kushikishwa ukuta? Naona una hasira sana baada ya kukupima oil bila ya malipo
 
lipua lipua go ahead mbowe, hawa wezi tumewachoka.

tuwe wakweli jamani. Hivi kwenye mradi kama huu wa gesi bado mnaleta ujinga wenu? Lengo lenu ni kudhorotesha sekta ya gesi. Nawwaambia hapa hamtapata kitu
 
"Nzi" wa Chadema waliojibanza Ikulu na Wizara ya Nishati wapo hatua za mwisho kabisa kumaliza kukusanya nyaraka muhimu vivid evidence juu ya ufisadi mkubwa uliofanywa katika mradi wa Bomba la Gesi.

Bomu hili linalotegemewa kulipuka mda wowote linaweza kusambaratisha CCM.

Aidha wahisani wameshadokezwa kuhusu uwizi huu pamoja na usanii wa Escrow.

Baki hapa hapa JF tutakudondoshea soon

Hivi ndio maana waling'ang'ania litandazwe Mtwara to Dar kwa sababu binafsi na wala sio maslahi ya watanzania wote kwa ujumla na wale wa Mtwara. Ni vyema neuroscientists and DNA specialists wakaangalia makeup na ubongo wa mafisadi kama viko katika mkondo wa human system na sio maviumbe mengine ambayo hayajali binadamu tena wa nchi yao!!!!
 
Back
Top Bottom