Mbowe kulipua ufisadi wa Bomba la Gesi

Mbowe kulipua ufisadi wa Bomba la Gesi

Aisee Kama unachotetea basi nalazimika kuamini (though nilikuwa siamini) kuwa serikali yako ni dhaifu Sana

Inawezaje kumuachia mtu "muuaji" kuendelea kuwa raia huru na zaidi kuwa kiongozi cha chama cha siasa ambacho kinapokea ruzuku?

Nikubalie kuwa serikali yako ni dhaifu so I can buy on your cheap majitaka politics

Kuna bouncer mmoja mmoja pale Billcanas alupewa issue ua kuwapiga vuongozi wa chadema ktK kikao kilichokuwa kinafanyika hapo ufipa usiku, mratinu ni Mbowe, na Zitto, ilipofika muda Mbowe akakimbia kama alipokimbia Arusha lema Kakamatwa peke yake, Zitto akastukia akasamisha zoezi, halikufanyika, kwakuwa wLishakula advance wakapewa kazi ya kumalizana na Kubenea, jamaa hakupewa hela yake baada ya kulalamika ndiyo akapewa kazi ya ubounsa billcanas.
Halafu anajiita mtetezi wa wanyonge shame on him lol...
 
"nzi" wa chadema waliojibanza ikulu na wizara ya nishati wapo hatua za mwisho kabisa kumaliza kukusanya nyaraka muhimu vivid evidence juu ya ufisadi mkubwa uliofanywa katika mradi wa bomba la gesi.

Bomu hili linalotegemewa kulipuka mda wowote linaweza kusambaratisha ccm.

Aidha wahisani wameshadokezwa kuhusu uwizi huu pamoja na usanii wa escrow.

Baki hapa hapa jf tutakudondoshea soon

rafiki yangu yuko anafanya kazi hulburton ananiambia mafuta wameanza kuchimba siku nyingi sana na wanasadirisha na meli huhuko please jeshi naomba watusaidie mwisho wa mipaka yetu ni ipi na inawezekanage meli ikaingia na kuchua mafuta pasipo sisi kujua na kam tunajua ni kwa mkat
 
"Nzi" wa Chadema waliojibanza Ikulu na Wizara ya Nishati wapo hatua za mwisho kabisa kumaliza kukusanya nyaraka muhimu vivid evidence juu ya ufisadi mkubwa uliofanywa katika mradi wa Bomba la Gesi.

Bomu hili linalotegemewa kulipuka mda wowote linaweza kusambaratisha CCM.

Aidha wahisani wameshadokezwa kuhusu uwizi huu pamoja na usanii wa Escrow.

Baki hapa hapa JF tutakudondoshea soon

Tushirikiane kuyavurumishia Makombora toka pande zote ma CCM.
Haya lazima tuyasambaratishe tu,afe beki afe Kipa,ma CCM lazima yang'oke
 
  • Thanks
Reactions: BAK
tuwe wakweli jamani. Hivi kwenye mradi kama huu wa gesi bado mnaleta ujinga wenu? Lengo lenu ni kudhorotesha sekta ya gesi. Nawwaambia hapa hamtapata kitu

Posts zako nyingi ambazo nimeziona humu haziondoi hoja kwa kuleta hoja bora zaidi ila ni kutukana tu!!! Kutukana badala ya kuweka hoja yenye nguvu mezani ni ishara ya 'poor reasoning/ thinking'. Issue hapa ni wizi na wala sio kwamba gesi isiwepo. Kama gharama halisia ya bomba ni, mfano, mil 10, halafu cost imekuwa inflated mpaka mil 20; maanake 10mil imeenda kwenye mifuko ya watu binafsi. Kama ili limegundulika, wewe unaona ni sawa wasishughulikiwe?
 
Yaani mpaka kufikia watu wanatetea ufisadi na si Tanzania!
 
Kuna bouncer mmoja mmoja pale Billcanas alupewa issue ua kuwapiga vuongozi wa chadema ktK kikao kilichokuwa kinafanyika hapo ufipa usiku, mratinu ni Mbowe, na Zitto, ilipofika muda Mbowe akakimbia kama alipokimbia Arusha lema Kakamatwa peke yake, Zitto akastukia akasamisha zoezi, halikufanyika, kwakuwa wLishakula advance wakapewa kazi ya kumalizana na Kubenea, jamaa hakupewa hela yake baada ya kulalamika ndiyo akapewa kazi ya ubounsa billcanas.
Halafu anajiita mtetezi wa wanyonge shame on him lol...

Pamoja na kosa hili pia hakukamatwa wala kufunguliwa mashtaka pamoja na kuwa evidences zipo (kama ulivyozitaja) na witnesseses wapo (ikiwapo wewe)

Something must be wrong with our gorvernment....inawezekanaje wahalaifu wanaachiwa tu kujidai mtaani na bado wanawapa ruzuku???
 
Rais alisema ukiona mtu hashughurikiwi ujue hana madhala, lakini kila kitu kinajulikana anategemea huruma ya wananchi. Mwisho wake ni mwakani subiri tu..
 
Na kutafuna pesa za Ruzuku na pesa za misaada pia ni bingwa, viti maalum wote wanamjua nje na ndani.
hizi fujo zenu humu ni kwa faida ya nani,mbona yazungumzwayo ni kwa faida ya wote isipokuwa mafisadi
 
acha kutapatapa hivi huwa hamuoni aibu kubisha vitu ya kweli ......

Kwani vitu vya mbowe ni vya Uongo? Nani anabisha? Mbona wewe unabisha vya Ukweli juu ya mbowe? Swali je? Slaa hakujikopesha million 100 pesa za Ruzuku? Je? Chacha wangwe alikufa kwa Mapenzi ya mungu? Je? Mbowe lema Mnyika mrema kom kileo nk si wachaga? Je? Hakuna Ukabila na ukanda chadema? Je? Pesa za Ruzuku zinafika kule chini matawini? Tambua kuwa pesa ya escrow nayo imeliwa na Viongozi wako japo wanawazuga watu kisanii tu.
 
Back
Top Bottom