Mbowe kulipua ufisadi wa Bomba la Gesi

Mbowe kulipua ufisadi wa Bomba la Gesi

Mwaka huu mpaka kieleweke!! wamezoea sana kutuibia hawa mafala wanadhani wabongo wote mazu😛eace:😛eace:😛eace: ndio watajua pipoz pawa ikoje.
 
Ukisoma nyuzi kama hizi ndio unaweza kujua upeo wa watu katika kutoa maoni. Rich Pol please, unashindwa hata kumjibu Cathode Rays kwa hoja, kweli?
Hadi ifike 30% ya watanzania kuwa na upeo wa mambo Tanzania itazidi kuwa nchi maskini sana.
 
Last edited by a moderator:
Nchi inaharibiwa na wahuni kama wewe, wanaosubiri kudra za Mzee Slaa kuwauzia mfuko wa Cement kwa shs 5000, sio Rais KIKWETE.

msalani maana yake chooni, wewe na funza hamna tofauti kwa akili,unafikiri cement haiwez kuuzwa kwa 5000? Nyie mnaemtetea jk mi nawaona wapu.u.zi tu
 
FUNZA napata shida kukujibu huku nilipo net inasumbua.ni hivi mijadala km hiyo inapotolewa tunafaidika zaidi sisi tulio nje kdg ya nyumbani sasa mnapotokea mnaharibu mijadala na rugha zisizo staha tunaonekana wote watoto Mkuu jadili hoja iliyopo usimjadili Mbowe binafsi ukisema tuchambue viongozi wetu hakuna mkamilifu au unafurahia nchi inavyoliwa Mkuu leo au Mkuu mnalizika na hivyo vimalipo mnavyolipwa kuharibu mijadala na kuitetea Ccm.Mkuu naamini wewe ni msomi badilika kaka hao viongozi wanawatumia kama ngazi kufanikisha malengo yao hivyo vyeo wanavyo waahidi ni danganya toto tu kumbuka kuna uzee mkuu waache watu wawe huru kuchangia sio kuharibu nyuzi za watu MODS tusijadili watu mtende haki Funza anatoka nje ya taratibu zetu hata Msalani na Lizaboni hawapo kama wewe Mkuu

kwenye ule uzi wa binti Kagem akiomba msamaha kutokana na mitusi mizito aliyoitoa funza amechangia sana huko na ukisoma btn the line ndio utamfahamu vizuri funza, aka embunza, emila, ebinoijo! Njaa mbaya hasa ikikimbilia kwenye fuvu.
 
Last edited by a moderator:
msalani maana yake chooni, wewe na funza hamna tofauti kwa akili,unafikiri cement haiwez kuuzwa kwa 5000? Nyie mnaemtetea jk mi nawaona wapu.u.zi tu

Hata ufanyeje hapo ulipo lazima kwa siku unaenda Chooni na funza watakutafuna siku ukifa na sasa wengine wapo kichwani mwako hadi wamekufanya Ukariri kila unaloambiwa na Slaa na Mbowe na kuwaona ni Mungu huwa hawasemi uongo, hivi kwa Akili zako Mtu anayekariri kwa kiwango chako anafaa kushauri watu chochote?
 
kwenye ule uzi wa binti Kagem akiomba msamaha kutokana na mitusi mizito aliyoitoa funza amechangia sana huko na ukisoma btn the line ndio utamfahamu vizuri funza, aka embunza, emila, ebinoijo! Njaa mbaya hasa ikikimbilia kwenye fuvu.

Njaa ipi ? Kama njaa unayo wewe usiyejua Kubalance Habari umekariri tu huna lolote mie situmwi na Mtu ndiyo maana Sijamsema mama Tibaijuka mwenyewe nikasema Ukweli juu ya Tabia za Binti yake kwani namfahamu vizuri. Najua Habari za Mbowe zimekuuzi sana Lakini unapaswa ujifunze kujua upande wa pili wa Mtu Usimwamini mtu kwa 100%.
 
Last edited by a moderator:
Tuache Malombano, Inasemekana Bil 1.4 Zimepigwa Kwenye Ujenzi Wa Bomba La Ges. Kuhusu Nani Ana Nguvu Tusubiri Oktoba Mwakani Tutamjua Mwanamme.

Kwani wakati mladi wa bomba la Gesi unaanza ni nani alitia sahihi mkataba?
 
Mimi ni anti ccm ila kwenye bomba la gesi hamtakaa muone ufisadi labda kama tutaangalia kabla ya China kupewa huo mradi

Mladi wa bomba la Gesi ulianza kitambo je? Unamjua aliyetia sahihi mikataba ya kuanza kazi?
 
Kwani wakati mladi wa bomba la Gesi unaanza ni nani alitia sahihi mkataba?
mpumbavu kama wewe usiyejua hata authorities itakusaidia nini.unakumbuka hata kuna maafisa walitiwa ndani kwa agizo la PAC sababu ikiwa ni non submission of contract documents?
 
Mladi wa bomba la Gesi ulianza kitambo je? Unamjua aliyetia sahihi mikataba ya kuanza kazi?

Mladi ndo kitu gani kila mahali mladi mladi....sipendi watu wa namna yako....kama kuongea shida ni lafudhi...sijui madha tang sasa ndio mpaka kwenye uandishi
 
Pia angelipua yale madeni feki anayowabambikia Chadema kisha kujilipa pesa za Ruzuku huku pesa za misaada toka nje na akina Sembodo zikiliwa na kuishia makao makuu. Mbowe si msaafi ile pesa ya escrow ilichotwa stanbic alipata Mgao kwenye kiroba pale Bungeni alienda kuzuga na kuwahadaa watu.mbowe ana Laana ya marehemu chacha wangwe .

Sharabaro we. Unamuonea wivu kwa jinsi anavyozidi kupata umaarufu ilihali lichama lenu likizidi kunuka.
 
Mimi ni anti ccm ila kwenye bomba la gesi hamtakaa muone ufisadi labda kama tutaangalia kabla ya China kupewa huo mradi

vijana mna mawazo finyu sana,mnashindwa kujua hata kuna tendering,evaluation of tenders,award of contract ,implementation of contract.sasa iweje ushindwe kujua kama mkataba unaweza kuingiwa vizuri halafu ukachakachuliwa wakati wa utekelezaji.nakupa mfano mkataba wa kufanya tafiti ya madini,kesho mtafiti akaanza kuchimba kabisa.mwenye kosa ni aliyeingia mkataba au anayetekeleza ?
 
First thing first, bomba la gesi hakukuwa na tendering

Kitu cha pili, serikali yako haina hata senti iliyodunduliza kwa ajili ya huo mradi

Tatu unajua msaada unambatana na masharti?hata wanao implement Huu mradi ni wachina asilimia kubwa, wakiwa supervised na makaburu wanaoshirikiana na 2 local firms (wafanyakazi wabongo hawazidi 40 ambao ni supervisors)

Nne China haifanyi kazi zake kwa rushwa labda kama in kweli baba riz alivyomuokoa riz kitanzini ndo ikabidi agawe mradi kwa kukopa
 
Mbowe hakupaswa kuwapa taarifa kuwa kuna bomu jingine analipua kuhusu gesi! manake magamba watajaribu kuziba kama walivyojaribu kuziba Escrow japo pale bomba lililopasuka lilikuwa kubwa na walishindwa! ninashangaa majizi yanawajibishwa kwa awamu ila chenji hayaambiwi kurudisha na watanzania wanasikitisha manake wamekata tamaa na sasa mali zao zinaibiwa kama shamba la bibi hawana kauli tena, manake siwasikii tena kudai mafisadi warudishe zile pesa za umma walizokwapua Escrow! bado nakumbuka ufisadi zilizopita na nasikitika zimefukiwa japo natamani kina LISSU wafufue tena yale madudu! nimesoma mahali wakimtaja mwandishi wa article Alta Vista 1 akidai kuwa sasa ni zamu ya watoto wa viongozi kutawala bongo eti 15% ya uongozi wa bongo kwa sasa ni watoto wa viongozi na asilimia inaweza kufika mia wabongo wakiendelea kulala usingizi wa pono!! ule uchifu aliofuta nyerere umerudi bongo kistaili! jamani natamani sana uraia wa nchi ingine!sitamani kabisa kurudi bongo japo visa inaniishia!

Ludi haraka Tz uje tukufundishe Kiswahili maana sasa umekisahau kabsa! Hapa Tz kwa sasa Viongozi wote wana kasoro zao hivyo kuwa Vigumu kukosoana kwa kasi, Huyo Lisu hawezi kupambana kwa nguvu unavyofikiri kwani anamwogopa Boss wake Mbowe ambaye alipewa Gunia la dola za escrow na anawagawia kiduchu Kinyume na walivyotarajia ndiyo maana Baadhi wakatoa siri. Mbowe ni Mpigaji dili hapo kwenye Bomba la Gesi kabeep ili asikilizie kisha ajue anapenya wapi apate Pesa za Rushwa kupozana, Lakini wapo watu wanadhani Mbowe ana Uchungu na Nchi hii, wenye Uchungu wapo hapo Chadema lakini hawana nguvu ya kupaza sauti zao, hapa Tanzania kila mtu anawaza kivyake vyake Akili ni nywele
 
vijana mna mawazo finyu sana,mnashindwa kujua hata kuna tendering,evaluation of tenders,award of contract ,implementation of contract.sasa iweje ushindwe kujua kama mkataba unaweza kuingiwa vizuri halafu ukachakachuliwa wakati wa utekelezaji.nakupa mfano mkataba wa kufanya tafiti ya madini,kesho mtafiti akaanza kuchimba kabisa.mwenye kosa ni aliyeingia mkataba au anayetekeleza ?
Tatizo ni pale mnapidhani kuwa Mbowe anawapigania kumbe yeye kabeep tu ili ajue pa kupiga Dili.
 
Mbowe hapa kutengeneza njia ya Mchongo kiulaini yaani kawabeep kisha awasikilizie akiona kuna Ulaji atasogeza Gunia lake wamwekee dola kama ilivyokuwa kwa pesa za escrow ambazo alibeba kisha akaenda bungeni kuzuga na kuwahadaa watu.
 
Back
Top Bottom