Mbowe kulipua ufisadi wa Bomba la Gesi

Mbowe kulipua ufisadi wa Bomba la Gesi

Naona wameshakukata sill sasa unavuja tuu wewe. Unavyokuwa unaota kwenye hivyo vyumba vya lumumba usifikirie ni sawa na vyama vingine tulia tuendele kuwa delete kama kawa na baado mpaka mtaomba poo wenzako wameshajitambua umebaki wewe tu unae funikwa na vibuyu

Lema za Mwizi ni 40 na ww sasa upo kwenye 39 hv ukikosa Ubunge mwakani lazima Utaludia Ujambazi jiandae kufa maana Wananchi watakumaliza kwani hata Laana ya chacha wangwe nayo imekuganda pamoja na wale wengine ambao uliwahi kuwadhuru na kuwapora Mali zao. Lema huwa yupo nyuma ya Mbowe kwenye Dili zote za Hatari anajua Siri zote za ndani kuliko hata Rwakatare na Deus Mallya kwa kifupi Wewe lema ndiyo boss wa Umafya ndani ya Chadema hata Zito anamjua vyema.
 
Wewe Lema na huyo mwenzio DJ mbinu mlizonazo kuwatanguliza watu kama akina CHACHA.
Na hata S.Mwigamba alikikwepa kile KITOFA
Na hata ZITTO aliponea India.
Hata hapa Atown vijana wengi wanakutambua vizuri kipindi kile ulipokuwa MZEE WA KAZI.

Hizo ndio mbinu zenu.

R.I.P chacha wangwe.
 
Mzimu wa Chacha Wangwe imechachamaa sasa utawafanya Lema na Mbowe wagombane kisha Lema atamwaga mboga hadi maji ya kunawa na ya kunywa mpaka atapasua sahani na grass mpaka kufikia mwakani lazima Lema atakuwa ameropoka Jinsi walivyofanya na Mnyika kutekeleza huo Unyama ulioratibiwa na Mbowe kwa msaada wa pesa toka kwa mume wa Klyn.
 
naomba radhi kwa maneno mabaya yasiyo ya heshima kwa viongozi wote wa vya siasa vya upinzani na baadhi wale wa chama tawala. Naahidi kutorudia upuuzi huu tena.
Karibu kwenye wale wenye hekima na busara.
 
CCM kaeni mkao wa kulipuliwa,in this skandali Kitwete must resign
 
Karibu kwenye wale wenye hekima na busara.

Busara na hekima zipi?Kwani wale waliokariri kuwa Mbowe ni Mungu hana mapungufu wala doa ndiyo wenye hekima? Hivyo vigezo vyako umevitoa wapi? Kama kumkosoa Mbowe ni kukosa busara bora nibakie kuwa Mtu nisije kubali kukariri.
 
Akil yako ndogo kwel yani ww kuambiwa ujnga wa mbowe tayari umeamin?

Mbowe kabeep ili atengeneze Mchongo, Mbowe haaminiki yupo after dili. Huo mladi kama una mapungufu basi wajiandae kuchunwa na Mbowe kisayansi tena Safari hii si Mombasa watakutana kwengine kwenye Nyumba yake aliyonunua kule Africa kusini.
 
Zito ameweka wazi kumuunga mkono Kamanda Mbowe katika hili
 
"Nzi" wa Chadema waliojibanza Ikulu na Wizara ya Nishati wapo hatua za mwisho kabisa kumaliza kukusanya nyaraka muhimu vivid evidence juu ya ufisadi mkubwa uliofanywa katika mradi wa Bomba la Gesi.

Bomu hili linalotegemewa kulipuka muda wowote linaweza kusambaratisha CCM.

Aidha wahisani wameshadokezwa kuhusu wizi huu pamoja na usanii wa Escrow.

Baki hapa hapa JF tutakudondoshea soon.
Hivi hii stori iliishia wapi, au Mbowe alikula dili
 
Back
Top Bottom