Mbowe kulipua ufisadi wa Bomba la Gesi

Mbowe kulipua ufisadi wa Bomba la Gesi

Naona unashirikisha makalio kwenye ubongo wako

Wewe Lema Ubunge sahau hutapata Ubunge Damu ya chacha wangwe inakulilia sana, zile pesa za Marehemu ulizipora baada ya Ajali Feki Deus Mallya anasema haukumgawia, kule bungeni kipindi cha escrow ulikuwa wapi? Tunasikia ulivuta Kote kote yaani pande zote zilizokuwa zikipambana kisha ukaingia mitini.
 
Mbowe hapa kutengeneza njia ya Mchongo kiulaini yaani kawabeep kisha awasikilizie akiona kuna Ulaji atasogeza Gunia lake wamwekee dola kama ilivyokuwa kwa pesa za escrow ambazo alibeba kisha akaenda bungeni kuzuga na kuwahadaa watu.

mda huo huo unabubujikwa na povu kwamba serikali yako imara
 
Wewe Lema Ubunge sahau hutapata Ubunge Damu ya chacha wangwe inakulilia sana, zile pesa za Marehemu ulizipora baada ya Ajali Feki Deus Mallya anasema haukumgawia, kule bungeni kipindi cha escrow ulikuwa wapi? Tunasikia ulivuta Kote kote yaani pande zote zilizokuwa zikipambana kisha ukaingia mitini.
Pole sana naona jana wamekuaribu sehemu za faraga ndio maana leo unalialia hapa.. naona kakiwanda chenu cha wongo kanaendelea ndio maana mlimtuma msalani atengeneze machapisho yakuchafua Arusha mtasubiri sana na hicho kiwanda chenu cha wongo hapo Lumumba
 
Wewe Lema Ubunge sahau hutapata Ubunge Damu ya chacha wangwe inakulilia sana, zile pesa za Marehemu ulizipora baada ya Ajali Feki Deus Mallya anasema haukumgawia, kule bungeni kipindi cha escrow ulikuwa wapi? Tunasikia ulivuta Kote kote yaani pande zote zilizokuwa zikipambana kisha ukaingia mitini.
Naona baado unauchungu jinsi tulivyo washugulikia Arusha kwenye serekali za mitaa
 
"Nzi" wa Chadema waliojibanza Ikulu na Wizara ya Nishati wapo hatua za mwisho kabisa kumaliza kukusanya nyaraka muhimu vivid evidence juu ya ufisadi mkubwa uliofanywa katika mradi wa Bomba la Gesi.

Bomu hili linalotegemewa kulipuka mda wowote linaweza kusambaratisha CCM.

Aidha wahisani wameshadokezwa kuhusu uwizi huu pamoja na usanii wna Escrow.

Baki hapa hapa JF tutakudondoshea soon

Na bado mwakahuu ccm wamechemsha huku kijijin kwetu tunawangoja tena 2015 tugonge msumari wamwisho kwenye jeneza lao.
 
Ninyi mnaokimbilia mambo ya chama ya watu na mambo ya watu kifamilia cjui mna akili ndogo kiasi gani! Mambo haya makubwa yanayogusu Taifa km ufusadi wa serikali huu dhalimu mnataka wafichue nani? Acheni ushabiki wa kutokuwa na logic wa uhalisia wa mambo! Mbowe yuko sahihi! Hiyo Ccm mnalolitetea wao ruzuku wanapeleka wapi kwani kila karbu na chaguzi wanabomoa kwa wizi? Bado mko usingizi wapono kutetea upambuvu tu Ccm ni Ukoo wa panyaa
 
Mambo gani binafsi? Mada inasema Mbowe kulipua bomu la Gesi ! Haikusema Chadema imemsema Mbowe peke yake. Na sisi tumeamua kuzianika kasoro na Mapungufu yake sasa Tatizo lipo wapi? Huyo Mbowe mwenyewe si mtu Saafi iweje awe kinara wa kuwahadaa Watanzania? Pesa za escrow alichua na sasa kabeep kwenye Gesi napo atapiga chezea mbowe wewe.
 
' Laiti watanzania wote wangekuwa na macho waone, lakini harufu ya uozo wa nchi hii inatokea ndani haujadhihirika dhahiri kwa nje ' !
 
Kati ya watu wanaonufaika na pesa za Mbowe baada ya kupiga Dili huwa ni wewe Lema ndiyo maana huwa unamtetea Mbowe kwa nguvu zote hata kama Mbowe ana makosa ya wazi haukubali kwani wote mnaogopana wewe Lema anakuogopa akikuuzi utaanika Jinsi ulivyetekeleza Kifo cha chacha wangwe,na wewe unabembeleza hata ukikosa Ubunge akupe cheo pale makao makuu ili muendelee kuipiga Ruzuku na pesa misaada mpaka zile za akina Sabodo, sasa baba yako Mbowe kabeep hapo kwenye Gesi jiandaeni na magunia ya kubebea pesa kama alivyofanya kwa pesa za escrow.
Naona wameshakukata sill sasa unavuja tuu wewe. Unavyokuwa unaota kwenye hivyo vyumba vya lumumba usifikirie ni sawa na vyama vingine tulia tuendele kuwa delete kama kawa na baado mpaka mtaomba poo wenzako wameshajitambua umebaki wewe tu unae funikwa na vibuyu
 
Mambo gani binafsi? Mada inasema Mbowe kulipua bomu la Gesi ! Haikusema Chadema imemsema Mbowe peke yake. Na sisi tumeamua kuzianika kasoro na Mapungufu yake sasa Tatizo lipo wapi? Huyo Mbowe mwenyewe si mtu kSaafi iweje awe kinara wa kuwahadaa Watanzania? Pesa za escrow alichua na sasa kabeep kwenye Gesi napo atapiga chezea mbowe wewe.
Naona tokea jana usiku unabwabwaja sana naona karibia tunakazuia kale ka mgao chako cha gas
 
Tuna usubiri huo ufisadi wa bomba la gesi tuchanganye na ufisadi nyingine zilizopita kama EPA, Meremeta, Richmond, Bunzwagi, Makaa ya mawe Kiwira, Rada, Ndege ya Rais nk na ukijumlisha zote tutapata CCM kuwa Upinzani 2015. Huu ndiyo muda wa kushambulia lango lao
 
Km mbowe kapiga dili mbona wakina Tibaijuka na Shabani Gurumo ndio wamepewa? Ma ccm wengine matahira. Wenzako wanakula nchi hawana uzalendo mijitu mingine inashabikia upumbavu. Liko huko Katavi anaambiwa fuga nyuki zikuume.
 
ETI TUKITAIFISHA IPTL TUTAWAFUKUZA WAWEKEZAJI!!!!wawekezaji wenyewe ni Salama na Miraji(SIMBA TRUST)milioni mia mbili kila siku mpaka 2022 sio mchezo,angefukuzwa nyumbani na mwalimu Salma kama angekubali azimio hilo.
 
Makanjanja wapo Chama Cha Mafisadi maana kila mwaka wana mbinu mpya za kuiba

Wewe Lema na huyo mwenzio DJ mbinu mlizonazo kuwatanguliza watu kama akina CHACHA.
Na hata S.Mwigamba alikikwepa kile KITOFA
Na hata ZITTO aliponea India.
Hata hapa Atown vijana wengi wanakutambua vizuri kipindi kile ulipokuwa MZEE WA KAZI.

Hizo ndio mbinu zenu.
 
Yani nchi hii kila penye project pana scandal. Hiki lizazi kikoje jamani. Siku moja ikulu itauzwa.:A S-rap:
 
Back
Top Bottom