Chademakwanza
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 6,346
- 1,873
Ukiona kijana mdogo anatetea ufisadi basi jua uzeni huyo atakua mchawi
Ila mtoto wa Kigoma ilishindikana kum chacha wangwe.
Hawawezi kwani Mnyika wakati anachora mipango yote Zito alijua A-Z na alifahamu ipo siku na yeye yatamkumba akajipanga mapema hadi kwenye kamati za Ufundi maana huko ndipo Mbowe kabobs zaidi
Mbowe hakupaswa kuwapa taarifa kuwa kuna bomu jingine analipua kuhusu gesi! manake magamba watajaribu kuziba kama walivyojaribu kuziba Escrow japo pale bomba lililopasuka lilikuwa kubwa na walishindwa! ninashangaa majizi yanawajibishwa kwa awamu ila chenji hayaambiwi kurudisha na watanzania wanasikitisha manake wamekata tamaa na sasa mali zao zinaibiwa kama shamba la bibi hawana kauli tena, manake siwasikii tena kudai mafisadi warudishe zile pesa za umma walizokwapua Escrow! bado nakumbuka ufisadi zilizopita na nasikitika zimefukiwa japo natamani kina LISSU wafufue tena yale madudu! nimesoma mahali wakimtaja mwandishi wa article Alta Vista 1 akidai kuwa sasa ni zamu ya watoto wa viongozi kutawala bongo eti 15% ya uongozi wa bongo kwa sasa ni watoto wa viongozi na asilimia inaweza kufika mia wabongo wakiendelea kulala usingizi wa pono!! ule uchifu aliofuta nyerere umerudi bongo kistaili! jamani natamani sana uraia wa nchi ingine!sitamani kabisa kurudi bongo japo visa inaniishia!

bora ubaki huko huko ukimbizini. Bongo hatuhitaji mataahira kama wewe
peoooopleeeee...! power. mungu yupo nasi chadema na ukawa kwa ujumla.ccm wanatakiwa kuondoka wananchi tumechoka ufisadi!
Anadhani Gesi ni Rahisi kulipua kama alivyommaliza chacha wangwe hadi leo familia yake inataabika mbowe anatesa na Ufisadi wa Ruzuku na pesa za misaada huku akiongezea na za escrow, Mbowe ni mtu Hatari sana.
Aaah! R.I.P. Chacha Wangwe hakika walimfanya vibaya.
Haya majibu msiyashangae maana hata mawaziri wanatoa majibu ya hovyo kama haya.
Mbowe ni muhujumu uchumi. Ingekuwa enzi za Nyerere angenyongwa