Mbowe kuanza Ziara Mwanza Tarehe 14 Desemba!

Mbowe kuanza Ziara Mwanza Tarehe 14 Desemba!

Mbona una kiherehere, unafanya kazi Kurugenzi ya mawasiliano CHADEMA?
 
Hivi huyu jamaa ni nani Chadema? Mie nimetokea mwanza jana na sioni hiyo mipasuko inayozungumzwa na watu wa ccm kuhusu Chadema, watu mwanza wana mwamko na mageuzi kupita kiasi, juzi napita maeneo ya kirumba nikakuta watu wanashangilia bar kwa sababu tu wamemwona wenje anaongea bungeni..kwani ziara ya kinana ina maana ccm inakufa?
 
nikwamba mh. mbowe kwa mwanza hakuna shaka mapokezi na hata wasio mjua kiongozi huyu watampokea kwa shagwe ya ajabu.magamba hayataamini haki ya baba mtaona.
 
Taarifa nilizozinasa kutoka kwa mmoja wa viongozi wa CCM mwanza ni kuwa yule mtu anayeitwa MATATA ni diwani sijajua wa kata gani mwanza ameandaa vijana zaidi ya 70 ili kufanya fujo wakati wa ujio na mkutano wa Mbowe mwanza.

Matata amabaye kama jinsi jina lake lilivyo anatajwa kuwa ni mtu hatari sana ambaye anaweza kukutumia watu muda wowote na kukudhuru ni huyuhuyu ambaye mwaka huu alimtishia Mbunge wa Ilemela Kiwia kuwa anaweza asimuuwe yeye mwenyewe ila kuna watu wanaweza kumuua.

CHADEMA chukueni tahadhari sana.
 
Kijana gani atakayekubali kuleta vurugu, chezea kichapo wewe. Wanaijua Mwanza.
 
Kaka huyo Matata nani asiyemjua kwa tabia yake mbaya? Kumbukeni wakati anamiliki au anachezesha disco kuanzia Jirani na Mwanza Hotel baadae kule Ghana ya chini alivyokuwa anawafanyishia wale wanaokuja na wanawa ke wazuri akimpenda lazima amchukue.Je wayajua magari yake yalivyoandikwa? IGA UFE
 
Muulize MAtata hana hamumkumbuki ,vijana aliowatuma Kigoma wapo wote hospitali baada ya kipigo.....
 
kuvuta bangi nyingi hakumaanishi kwamba una nguvu , MATATA analindwa na utawala huu kwa vile anahujumu cdm , alishafukuzwa cdm kitambo kirefu sana , safari hii tunajipanga kuvunja sheria za nchi kwa ajili yake , TUTAMTANDIKA VIBAYA MNO , maana ukicheka na mbwa unaweza kukuta unaingia naye msikitini , LIWALO NA LIWE !
 
kuvuta bangi nyingi hakumaanishi kwamba una nguvu , MATATA analindwa na utawala huu kwa vile anahujumu cdm , alishafukuzwa cdm kitambo kirefu sana , safari hii tunajipanga kuvunja sheria za nchi kwa ajili yake , TUTAMTANDIKA VIBAYA MNO , maana ukicheka na mbwa unaweza kukuta unaingia naye msikitini , LIWALO NA LIWE !

Kwahiyo M.Pinda hakukosea.........!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Ww akili mgando,ukisoma hii thread mleta balaa ni nani???'kichwa samaki wewe."Kwa Mwanza 'mtafrah'".

Marahabaaaaaaaaaaaaaaaa........!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom