Mbowe kuanza Ziara Mwanza Tarehe 14 Desemba!

Mbowe kuanza Ziara Mwanza Tarehe 14 Desemba!

Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe anatarajiwa kuanza ziara rasmi ya kichama katika mkoa wa Mwanza kuanzia tarehe 14 Desemba.

Taarifa kutoka Makao Makuu ya Chama Dar es Salaam na ofisi za chama Mkoani Mwanza zinasema kwamba ziara hiyo itakuwa na nia ya kuimarisha chama.

Kiongozi huyo anatarajiwa kuhutubia wanafunzi wa vyuo vikuu mkoani Mwanza ambao ni wanachama wa CHADEMA katika siku ya kwanza ya ziara yake.

Mkoa wa Mwanza ni kati ya ngome kuu za CHADEMA kanda ya ziwa na Mwenyekiti huyo amekuwa akiheshimika sana katika mkoa huo.

Source:Chademablog.

Kama kawa kamanda Mbowe kanyaga twende wao porojo sisi kazi tu ingia Mwanza ingia Mwanza ingia baba.kapige kazi
 
Aahhh!
We jamaa sixgates ni Muislam? Maana juzi nimemuambiwa Muislam Mwenzangu THE BIG SHOW aache Unafki na wewe hata kama ni MKRISTO acha Unafki maana YESU na BIBLIA havitaki.

Kila siki mnalia hapa RUZUKU RUZUKU, Leo tena unauliza wanatoa wapi Hela? Ya kweli hayo?

Ushahuri:
Pumzika achana na siasa za mitandaoni maana mwisho wako ni Aibu kuu, Mpaka sasa huchachelewa unafikiri hakua watu walio Chukia maamuzi ya CHADEMA ? Wapo wengi tu lakini Busara zimewatuma kukaa kimya na wanasubiri maamuzi ya Mwisho waongee. Mfano mzuri wa watu hawa ni Pasco hata MWANAKIjiji. Wote hawa wamekaa kimya hawatii neno kwakuwa wanajua ngoma Mbichi.

Mkuu, jadili hoja. Ni kweli slaa anajipangia mikutano ili apate per dm?
 
Last edited by a moderator:
Kama kawa kamanda Mbowe kanyaga twende wao porojo sisi kazi tu ingia Mwanza ingia Mwanza ingia baba.kapige kazi

Kamanda KAribu mwanza, eti wakuita you are too local.wajinga wale, wamelewa utajiri wa bandia, wametoka makwao weupe.leo wanajiringanisha na wewe mjasiliamali, eti wanachagua aina ya biashara walitaka nani aendeshe kumbi za starehe wajinga wakubwa, Ina maana wanatakiwa nani atoe huduma hiyo halali? Wajinga wakubwa.wao leo ukiwakagua hawana hata business licence Lakini ni mamilionea, ngoja Cdm iwapige chini tutawaona kama wataweza hata ku fungua kiosk.wajinga .
Hawajui historia ya nchi wamekuta imetengenezwa wao wanakuja kuiba tu.Hawajui kuwa mzee mbowe ndiyo walitoa michango ya Hali na Mali kuhakikisha wapigania Uhuru wa nchi wana pata pesa za kuwapeleka UN Kudai uhuru, Lakini leo bila Aibu wana sema chairman wetu ni too local, too local!!!.anyways kapiga kazi kamanda wakikua wataacha.
 
Sasa hata ukiandika kwa jazba, na kutokwa povu, haibadilishi ukweli! Mwenyekiti wako ni "too local"
 
Mkuu naona umeamua kuwa na akili kama msukule. Ukombozi wa nini?
Hujamsikia Dr. Slaa jana amemwonya Mwenyekiti wenu CCM inataka kuwa zaidi ya Makaburu kwa kuwapa mateso Watanzania. Alikuwa akilinganisha yaliyofanywa na Marehemu Mandela kuwakomboa Weusi na kuponda kuwa sisi tunatesana weusi kwa weusi.
Nadhani umeelewa ukombozi wa nini sasa, huyo si Msukule, wewe ndo Msukule usiye na ufahamu huo.
 
Chadema wanapata wapi fedha za kuchezea hivi?

Kwani CCM wanapata wapi!!!?!! Wanapopata wao ndipo na CDM wanapata. Si mmeona Kinana alivyoumbuka Njombe baada ya kukosa fedha za kusomba watu. Milion mia tisa na sitini xote zimelambwa Mbeya !!!.
 
Mashambulizi yaendelee nchi nzima mpaka kwa wafungwa wa Lindi na Mtwara.
 
kama matumizi ya chadema yanazidi ruzuku wanayopewa na serikali, na kwakutambua chadema haina chnzo chengine cha mapato waeleze wanatoa wapi fedha zisizoisha. Inatia shaka nani anakifadhili hiki chama

sabodo
 
Taarifa kama hiyo zinanifanya nilale usingizi mwanana!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom