silongocapdvilla
Member
- Sep 29, 2013
- 54
- 13
tunajua kabisa kuwa mbowe ni mtu asiyetumia akili katika maamzi yake,kipindi katumia helikopita kwenye kampeni watu walikuwa wanajaa walivyokuja kuhesabu kura ,ikaonekana yaani kama hakugombea kabisa!! kwani watu wanamchukulia kama komedi tu yaani,unajua mtu mwenye darasa la saba kuongoza chama kama chadema ,mtu mwenye akili ukifikiria haiji akilini'''' never ague with stupid people ,,,,they will drug you down to their level and then beat you with experience '''
kama chama makini lkn mbowe sio makini kupiga kelele kila mtu anaweza!! so what mbowe anajua nini fikiria ukimpa urais yule si afadhali magamba waimalize.
kama chama makini lkn mbowe sio makini kupiga kelele kila mtu anaweza!! so what mbowe anajua nini fikiria ukimpa urais yule si afadhali magamba waimalize.