Chadema wanapata wapi fedha za kuchezea hivi?
View attachment 125443
Form six kashikilia kiti....
Chadema wanapata wapi fedha za kuchezea hivi?
Chadema wanapata wapi fedha za kuchezea hivi?
Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe anatarajiwa kuanza ziara rasmi ya kichama katika mkoa wa Mwanza kuanzia tarehe 14 Desemba.
Taarifa kutoka Makao Makuu ya Chama Dar es Salaam na ofisi za chama Mkoani Mwanza zinasema kwamba ziara hiyo itakuwa na nia ya kuimarisha chama.
Kiongozi huyo anatarajiwa kuhutubia wanafunzi wa vyuo vikuu mkoani Mwanza ambao ni wanachama wa CHADEMA katika siku ya kwanza ya ziara yake.
Mkoa wa Mwanza ni kati ya ngome kuu za CHADEMA kanda ya ziwa na Mwenyekiti huyo amekuwa akiheshimika sana katika mkoa huo.
Source:Chademablog.
Zito hafukuziki hakuna anayeweza kumfukuza zitto.Aende huku akiwa kishamfukuza Zitto chadema. Siku 14 hazijaisha?
naye akapopolewe mawe
Wanateseka na mzimu wa zitto hawatamuweza kamwe.
Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe anatarajiwa kuanza ziara rasmi ya kichama katika mkoa wa Mwanza kuanzia tarehe 14 Desemba.
Taarifa kutoka Makao Makuu ya Chama Dar es Salaam na ofisi za chama Mkoani Mwanza zinasema kwamba ziara hiyo itakuwa na nia ya kuimarisha chama.
Kiongozi huyo anatarajiwa kuhutubia wanafunzi wa vyuo vikuu mkoani Mwanza ambao ni wanachama wa CHADEMA katika siku ya kwanza ya ziara yake.
Mkoa wa Mwanza ni kati ya ngome kuu za CHADEMA kanda ya ziwa na Mwenyekiti huyo amekuwa akiheshimika sana katika mkoa huo.
Source:Chademablog.
Kwahiyo wamegawana Singida, Geita, Kigoma na Shy.
Mwingine Mwanza, Tabora, Kegera, Musoma.
Vipi huyu malipo yake na bajeti @MACCM hamjapata tu?
Si umeshajitoa CHADEMA......ungebaki kama ulikuwa unataka kujua!