Mbowe kuanza Ziara Mwanza Tarehe 14 Desemba!

Mbowe kuanza Ziara Mwanza Tarehe 14 Desemba!

Aende ila auache ukandanism makao makuu!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kuwa mtulivu , kaulize CCM wakuwa nje siku 26 mbona hujauliza ? Kwanza wewe ni CCM unauliza mambo ya Chadema yanakuhusu nini ?I told you kwamba utakuja kuadhirika slowly you will get to learn

Mkuu unasahau chadema inapata ruzuku. Hizo ni fedha za walipa kodi wa hili taifa usifikiri tutawaacha muchezee kodi za wana wa hili taifa.
 
Mkuu unasahau chadema inapata ruzuku. Hizo ni fedha za walipa kodi wa hili taifa usifikiri tutawaacha muchezee kodi za wana wa hili taifa.
Kwa kweli nna shaka na ufahamu wako,kwani gambaz hawapati ruzuku!
 
Mkuu sixgates hata sisi tunaziuliza mnapata Wapi pesa za kuratibu maandamano kigoma?

Kama matumizi ya chadema yanazidi ruzuku wanayopewa na serikali, na kwakutambua chadema haina chnzo chengine cha mapato waeleze wanatoa wapi fedha zisizoisha. Inatia shaka nani anakifadhili hiki chama
 
Kwa kweli nna shaka na ufahamu wako,kwani gambaz hawapati ruzuku!

Ccm ina vyanzo vingi vya mapato. Mfano kwa kawe tuu. Zile ofisi/makao makuu ya Zantel ni mali ya ccm wanapokea mamilion ya kodi kwa mwezi pale.

Nitajie vyanzo vya mapato ya chadema.
 
Ni rahisi kuanza kufikiri hiki chama kinafadhiliwa na vikundi vya wapigania ushoga, na ndoa za jinsia moja.

Zitto ndicho anachodai, tujue mapato na matumizi.
 
Kiongozi Mkuu ni too local-waraka

Yes! Too local. Lakini alinasa nyaraka za siri za wale wanaomwita "too local". Ametibua mipango ya maadui zake kabla haijatekelezwa. Huyo ndiye mnayemwita "too local". Ameweza kupita wote na yeye ndiye kiongozi mkuu wa chama. Ndiye mnamwita "too local". Ni kiongozi wa kambi ya rasmi ya upinzani bungeni. Ndiye mnamwita "too local". Ninyi mnaomwita hivyo mnaongozwa naye, mmeshindwa kumpindua, mmeshindwa kumvunjia heshima, bado mnamwita "too local". Mmeshindwa kutibua mipango yake lakini yeye ametibua yenu. Mnamwita "too local". Kwa maoni yangu, ninyi mnaomwita "too local" mngejitafakari zaidi kwa sababu yeye amewazidi karibu kila kitu. Yeye tayari anacho anachokitaka, lakini ninyi mnakitamani lakini hamwezi kukipata. Bado eti mnamwita "too local".
 
mwenyekiti wa chadema freeman mbowe anatarajiwa kuanza ziara rasmi ya kichama katika mkoa wa mwanza kuanzia tarehe 14 desemba.

Taarifa kutoka makao makuu ya chama dar es salaam na ofisi za chama mkoani mwanza zinasema kwamba ziara hiyo itakuwa na nia ya kuimarisha chama.

Kiongozi huyo anatarajiwa kuhutubia wanafunzi wa vyuo vikuu mkoani mwanza ambao ni wanachama wa chadema katika siku ya kwanza ya ziara yake.

Mkoa wa mwanza ni kati ya ngome kuu za chadema kanda ya ziwa na mwenyekiti huyo amekuwa akiheshimika sana katika mkoa huo.

Source:chademablog.

mbowe anayo kazi ya kujibu maswali ya wana mwanza kama ifuatavyo.

Kwanini cha kilikuwa hakija kaguliwa mahesabu na cag?

Kwanini chama kilitaka kitonywe?

Kwanini chama kimegeuzwa kama tawi la pride-tanzania.
 
Chadema wanapata wapi fedha za kuchezea hivi?

Wanapata kutoka kwenye Ruzuku na michango ya wanachama,

Kumbuka hiki ni chama cha siasa na hizo route ni za kisiasa, futa kauli yako kwamba "Chadema inapata wapi fedha za kuchezea" haichezei inaenda kutoa elimu ya ukombozi
 
Hawa jamaa wanahangaika kuzima nguvu ya zitto kwa nguvu nyingi sana lakini mwisho watapata aibu ya milele.
 
Ruzuku yote ya mwezi wa kumi mpaka wa kumi na mbili, inaishia kwenye mapambano dhidi ya Zitto.
 
Last edited by a moderator:
Ccm ina vyanzo vingi vya mapato. Mfano kwa kawe tuu. Zile ofisi/makao makuu ya Zantel ni mali ya ccm wanapokea mamilion ya kodi kwa mwezi pale.

Nitajie vyanzo vya mapato ya chadema.

Maandamano na mikutano ya hadhara.
 
Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe anatarajiwa kuanza ziara rasmi ya kichama katika mkoa wa Mwanza kuanzia tarehe 14 Desemba.

Taarifa kutoka Makao Makuu ya Chama Dar es Salaam na ofisi za chama Mkoani Mwanza zinasema kwamba ziara hiyo itakuwa na nia ya kuimarisha chama.

Kiongozi huyo anatarajiwa kuhutubia wanafunzi wa vyuo vikuu mkoani Mwanza ambao ni wanachama wa CHADEMA katika siku ya kwanza ya ziara yake.

Mkoa wa Mwanza ni kati ya ngome kuu za CHADEMA kanda ya ziwa na Mwenyekiti huyo amekuwa akiheshimika sana katika mkoa huo.

Source:Chademablog.

Mkuu Molemo , Kamanda wa anga anatua Mwanza na Helkopta ngapi?
 
Last edited by a moderator:
Wanapata kutoka kwenye Ruzuku na michango ya wanachama,

Kumbuka hiki ni chama cha siasa na hizo route ni za kisiasa, futa kauli yako kwamba "Chadema inapata wapi fedha za kuchezea" haichezei inaenda kutoa elimu ya ukombozi
Mkuu naona umeamua kuwa na akili kama msukule. Ukombozi wa nini?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom