Mbowe kuanza Ziara Mwanza Tarehe 14 Desemba!

Mbowe kuanza Ziara Mwanza Tarehe 14 Desemba!

mazombi yanaanda kujihami mapema. Mwanza ni kama mikoa mingine, tupo ambao haturidhiki na mfumo-chagga na tutakuwa na mabango kama kawa.
 
Mhe. Mbowe yupo jijini Mwanza anakutana na Wataalamu na Wasomi hotel ya Gold crest akihamasisha Chadema ndiyo msingi. Lengo ni kuimarisha chama kwa nyanja zote. Nitawajulisha yatakayofuatia.
 
image.jpg
 
Mhe. Mbowe yupo jijini Mwanza anakutana na Wataalamu na Wasomi hotel ya Gold crest akihamasisha Chadema ndiyo msingi. Lengo ni kuimarisha chama kwa nyanja zote. Nitawajulisha yatakayofuatia.

Yeye anaelimu gani, atawaeleza nini wataaluma, na wasomi wakati yeye elimu yake ni wastani sana ?
 
naona ana body guard wanne, chezea vuguvugu, naona yeye kawa mjanja, anafanya vikao vya ndani.
 
Go go go Kamanda,tumekaribia ngome.,Viva CHADEMA viva.
 
Watu wanajua jambo lolote baya wakiliona au kulisikia.
Watalikwepa na kujaribu kwa nguvu zao zote kujitenga nalo.

Lakini,Watu hao hao wakiletewa jambo baya huku limechanganywa na fedha, inakuwa ngumu sana sana kwao kujitenga nalo. Si kwa sababu hawajui kwamba ni baya ila ni kwa sababu wanajua fedha iliyomo ndani yake ina nguvu ya kuusogeza ubaya mbali na wao kwa muda mfupi.

Fedha ikiisha wanabakiwa na Ubaya pamoja na Utii bila maswali.
 
Suala la rasilimaii za nchi, uwajibikaji na Uongozi bora vinahamasishwa hapa. Pia sera ua Kanda inaeleweshwa hapa. Ingekuwa suala la Elimu mbona CCM wana Maji Marefu, Lukuvi, wamesoma kiasi gani??
kwa hakika CCM wamekamatwa kila idara maana hamasa kwa Wasomi na Wataalamu ni kubwa sana. Hamasa hii tunatamani 2015 iwe kesho.
 
Hao wasomi ni kina nani? usitwambie wanatoka chuo cha biblia cha nyegezi. Santa Agostino.
 
Jamiii forums kuna mambo,

Kuna coment hapa imenifanya nicheke sana.

Anyway, hao wasomi wamnesomea nini haswa?
 
Hao wasomi ni kina nani? usitwambie wanatoka chuo cha biblia cha nyegezi. Santa Agostino.

hapana ni wa kile chuo kisicho tambulika rasmi ktk soko la ajira nchini cha muslim university of morogoro.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom