Mbowe hawezi kushinda hii kesi. Rais Samia amsamehe bure

Mkuu umeandika upuuzi mtupu. Sijui kwa kutokosa kuijua katiba ya nchi, au ndo unyumbu umekuzidi. Look bro.. katiba ya nchi inamruhusu au kumpa mamlaka raisi ya kusamehe watu ambao tayari wameshahukumiwa na mahakama (wafungwa waliokutwa na hatia) Sasa Mbowe sio mfungwa ni mahabusu kwa maana nyingine bado hajakiri kosa wala mahakama bado haijamkuta na kosa. Sasa huo msamaha anaupataje? Muda mungine tumia akili yako kwanza kabla ya kuandika uzi katika jukwaa lililojaa great thinkers kama hili.
 
Kufikiri kuwa serikali ikiwaona wazungu mahakamani ina panic ni kujidanganya. Hivi unaijua Tanzania?
 
Acheni mahakama ifanye kazi yake,usilolijua ni sawa na usiku wa giza
Tangu lini na wapi uliona mahakama inaendeshwa na maafisa wa intelligence? Msajili wa mahakama ni mmoja wa wasiojulikana! Tanzania hatuna mahakama. Marehemu aliharibu kila eneo.
 
You are very poor in writting....Hata haieleweki unaandika ukilenga nini....
 
Ndugu Rais anasamehe waliohukumiwa vifungo jela.
 
Akiweza kupangua hii hoja/majibu yenye akili nijulishe.
 
Great thinker,you don't know I know. Mbowe hatashinda ile kesi.

Rais husamehe aliyehukumiwa (mfungwa) hii ni kwa mujibu wa katiba yetu aliyotuachia Mwl Nyerere.

Mh Mbowe ni mtuhumiwa yuko mahabusu akipambana na kesi yake ambayo kwa katiba yetu haina dhamana.

Rais hana mamlaka ya kumsamehe mtuhumiwa mpaka mahakama itakapomtia hatiani ndipo Rais anakuwa na uwezo wa kutoa msamaha.

Natumaini utakuwa umeelewa na kutuomba radhi ma great thinker wote kwa kuanzisha mjadala usiokuwa na mantiki.
 
Mbowe ni mkorofi alitaka nchi isitawalike kwa kuleta vurugu na maandamano. Wacha atulie huko
Mbowe siyo mkorofi, hakuusoma tu upepo vizuri, alidhani Samia ni mwanasiasa mjanja mjanja kama JK! Kumbe mother anamisimamo yake, na hajali matusi ya wapinzani hata kidogo, na hawaogopi! Then mother hana cha kupoteza, hajawahi kuutaka urais, umemjia tu, so kwake yeye liwalo na liwe, as long as anahakikisha watanzania wapo salama, wanasiasa wahuni na janja janja hawampi shida!
 
Huyu amerithi matunguli yale yale aliyokuwa akiyatumia Magufuli. Ccm sio chama cha kisiasa tena na ndio maana kwa woga wao wanabumbia watu vyesi ili angalau wapate kupumua.

Swala hapa ni kuogopa mabadiliko ya katiba tu, hamna cha ugaidi wala nini, ugaidi gani huo hata Marekani wasijue eti akina Sirro ndio wajue. Bogus kabisa.
 
Wakuu, Mungu ni wa ajabu sana kwani huwa hakubali dhuluma hata mara moja na ndio maana shetani huwa anashindwa mara zote.
Ukuu wa Mungu ni wa ajabu sana, 'waliotengeneza' kesi hii nawaapia kuwa laana ya ajabu itawatafuna wao, watoto wao na wajukuu wao hadi kizazi cha 4! Kama mnawajua wafuatlieni ndani ya miaka 2 hadi 3 mtagundua kitu.
 
Umesikika JAJI MKUU

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…