KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,189
- 17,157
Mkuu, hivi Magufuli angekuwepo, unajuwa kwamba CHADEMA wasingedai hayo wanayodai kwa vile alikuwa mbabe, una uhakika huo?Naona tumezoea maisha ya kibabe babe hivyo tunamlazimisha Samia awe mbabe. So sad! Yule aliyepita amesema hakuahidi, hana agenda hiyo na asipangiwe juu ya hilo huyu amesema apewe muda yet tunaona tabu kumpa huo muda? Chadema mnaturudisha wapi jamani?
Unaamini Samia akiwa '"mbabe" katiba mpya watu wataacha kuidai? Unao uhakika huo?