Je, ni sahihi Mbowe kuwaalika Halima Mdee na Esther Bulaya wakati huu Chadema inasubiri majibu ya Spika Dr Tulia kuhusu Hukumu ya mahakama?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,012
142,044
Nauliza tu katika mifumo ya Maadili ya Viongozi hii inakubalika?

Naelewa Jaji amewapiga marufuku Mbowe na Mnyika kuhudhuria kikao cha Baraza Kuu la Chadema kusikiliza Rufaa za akina Halima Mdee lakini hiyo siyo sababu ya Mbowe kuwakumbatia akina Mdee

Rushwa ina maana pana hata kama tunajifanya vipofu

Nawatakia Heri ya Mwaka Mpya
 
Pale chadema mwenye roho mbaya ni Lissu tu, wengine hawana shida na mambo madogo madogo kama haya, wangeshasamehewa na chama.

Wanapendwa sana na wanachama wenzao na wanawasiliana kwa karibu sana, wenzao wanasema shida ni chiba, wako katika mkakati wa kuitatua shida ya chiba isisumbue chama huko mbele
 
Mi naaamini bwana yule ndiye alipanga kila kitu kwa kushirikiana na dola
 
Nauliza tu katika mifumo ya Maadili ya Viongozi hii inakubalika?

Nawatakia Heri ya Mwaka Mpya
Sio kila kitu ni siasa!, don't politicise everything!, kuna maisha nje ya siasa, that was a social event, hivyo Chairman Mbowe did the right thing!.

Mimi binafsi nimefarijika sana baada ya kusoma bandiko hili
Halima Mdee na Easter Bulaya, wakihojiwa na waandishi wq habari, wamesema, Mwenyekiti wa Chama chao amewaalika kuhudhuria harambee ya ujenzi wa kanisa.

Je, Mbowe hana kinyongo nao? kuna dalili hawa watu watasameheana? Je ni nani anakwamisha wasisameheane? Lissu?
Mkuu chiembe, asante sana kwa taarifa hii Easter Bulaya: Mwenyekiti wetu wa Chadema, Freeman Mbowe alitualika na Halima Mdee tuhudhurie hafla ya kuchangia kanisa Machame
Niliwahi kuuliza Je, wabunge 19 wa CHADEMA walijiteua? Je, CC ya CHADEMA ni Kangaroo Court? Je, Baraza Kuu litabariki ukangaroo ule?
Kisha nikasema Voices From Within: Unaweza usiamini! Aliyetoa A Go ahead kwa Mdee na Wenzake ni Kigogo wa Chadema!. Alikuwepo Ukumbini na Vikaoni! Je, ni nani?

Hiki alichokifanya Chairman Mbowe ndio highest standards of statesmanship, Halima ni born and breed Chadema, kaipigania Chadema kwa machozi, jasho na damu, she is a human being anaweza kukosea, hivyo tofauti za kichama zisijenge uadui kwenye social events zozote za shida na raha, Halima ni yule yule aliyelelewa Chadema.

Hongera sana Chairman Mbowe, kusameheana kupo na mkifuata ushauri huu Wana macho lakini hawaoni, wana masikio lakini hawasikii. CHADEMA wana macho? Je, wawasamehe Wabunge 19 wabarikiwe, au wakomae nao walaaniwe?
mtabarikiwa sana!.
P
 
Sio kila kitu ni siasa!, don't politicise everything!, kuna maisha nje ya siasa, that was a social event, hivyo Chairman Mbowe did the right thing!.

Mimi binafsi nimefarijika sana baada ya kusoma bandiko hili

Mkuu chiembe, asante sana kwa taarifa hii Easter Bulaya: Mwenyekiti wetu wa Chadema, Freeman Mbowe alitualika na Halima Mdee tuhudhurie hafla ya kuchangia kanisa Machame
Niliwahi kuuliza Je, wabunge 19 wa CHADEMA walijiteua? Je, CC ya CHADEMA ni Kangaroo Court? Je, Baraza Kuu litabariki ukangaroo ule?
Kisha nikasema Voices From Within: Unaweza usiamini! Aliyetoa A Go ahead kwa Mdee na Wenzake ni Kigogo wa Chadema!. Alikuwepo Ukumbini na Vikaoni! Je, ni nani?

Hiki alichokifanya Chairman Mbowe ndio highest standards of statesmanship, Halima ni born and breed Chadema, kaipigania Chadema kwa machozi, jasho na damu, she is a human being anaweza kukosea, hivyo tofauti za kichama zisijenge uadui kwenye social events zozote za shida na raha, Halima ni yule yule aliyelelewa Chadema.

Hongera sana Chairman Mbowe, kusameheana kupo na mkifuata ushauri huu Wana macho lakini hawaoni, wana masikio lakini hawasikii. CHADEMA wana macho? Je, wawasamehe Wabunge 19 wabarikiwe, au wakomae nao walaaniwe?
mtabarikiwa sana!.
P
"Mwenyekiti Mbowe ametualika" 😂
 
Nauliza tu katika mifumo ya Maadili ya Viongozi hii inakubalika?

Naelewa Jaji amewapiga marufuku Mbowe na Mnyika kuhudhuria kikao cha Baraza Kuu la Chadema kusikiliza Rufaa za akina Halima Mdee lakini hiyo siyo sababu ya Mbowe kuwakumbatia akina Mdee

Rushwa ina maana pana hata kama tunajifanya vipofu

Nawatakia Heri ya Mwaka Mpya
Chadena na Mdee ni kama maji na kata
 
Nauliza tu katika mifumo ya Maadili ya Viongozi hii inakubalika?

Naelewa Jaji amewapiga marufuku Mbowe na Mnyika kuhudhuria kikao cha Baraza Kuu la Chadema kusikiliza Rufaa za akina Halima Mdee lakini hiyo siyo sababu ya Mbowe kuwakumbatia akina Mdee

Rushwa ina maana pana hata kama tunajifanya vipofu

Nawatakia Heri ya Mwaka Mpya
Kwani kuna vita
 
Pale chadema mwenye roho mbaya ni Lissu tu, wengine hawana shida na mambo madogo madogo kama haya, wangeshasamehewa na chama.

Wanapendwa sana na wanachama wenzao na wanawasiliana kwa karibu sana, wenzao wanasema shida ni chiba, wako katika mkakati wa kuitatua shida ya chiba isisumbue chama huko mbele
Kwa taarifa yako wengi Bado tuna imani na CDM kwakuwa Bado Lisu Yuko huko. Kinyume na hapo cdm itakuwa kama UDP. Inshort Lisu ndio cdm.
 
Back
Top Bottom