Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 39,802
- 71,229
Hakika kuna mengi ya kunifunza kutoka kwa Mwamba huyu. Pamoja na mateso yote ya miezi zaidi ya 7 Mbowe hakupata kupiga goti mbele ya watesi wake wala kumwaga chozi bali ilikuwa ni tabasamu na ucheshi.
Lakini siku ya kwanza kutoka gerezani na kuingia kanisani kutoa shukrani ya pekee kwa Mungu kamwaga chozi mbele za Mungu wake. Nini maana yake?
Kwake Mungu ndio kimbilio na nguvu, msaada unaopatikana wakati wa shida na haogopi lolote linalotendwa nje ya mapenzi ya Mungu.
What kind of a leader this man is? Great man!
Oneni tofauti ya hizo picha.