ostrichegg
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 12,052
- 6,197
TBC walionyesha UTOTO aibu tupu.Naunga mkono mawazo yao lakini nitajaribu kuwapinga kidogo.
Mwaka 2020 wakati wa kampeni za ufungizi kwa Chadema mbowe alijishushia busara kwa kuwafukuza kama mbwa waandishi wa TBC.
Je, Mtu mwenye busara anaweza fanya hivyo? Tena akiwa live
Waliacha weledi wakajiingiza kwenye kuvuruga hotuba za CHADEMA. Ndio maana wamepwaya mpaka leo.