Mbowe hajatoa chozi kwenye mateso, katoa chozi nyumba ya Mungu

Hakika kuna mengi ya kunifunza kutoka kwa Mwamba huyu. Pamoja na mateso yote ya miezi zaidi ya 7 Mbowe hakupata kupiga goti mbele ya watesi wake wala kumwaga chozi bali ilikuwa ni tabasamu na ucheshi.

Lakini siku ya kwanza kutoka gerezani na kuingia kanisani kutoa shukrani ya pekee kwa Mungu kamwaga chozi mbele za Mungu wake. Nini maana yake?

Kwake Mungu ndio kimbilio na nguvu, msaada unaopatikana wakati wa shida na haogopi lolote linalotendwa nje ya mapenzi ya Mungu.

What kind of a leader this man is? Great man!

Oneni tofauti ya hizo picha.

Kwa kweli binafsi nimejifunza mambo mengi sn kutoka kwa Mbowe
 
Kitu muhimu ni unyenyekevu ambao Mbowe ameuonesha kwa serikali na kuahidi ushirikiano ili mama na serikali yake itekeleze ilani uchaguzi.
 
Naunga mkono mawazo yao lakini nitajaribu kuwapinga kidogo.

Mwaka 2020 wakati wa kampeni za ufungizi kwa Chadema mbowe alijishushia busara kwa kuwafukuza kama mbwa waandishi wa TBC.

Je, Mtu mwenye busara anaweza fanya hivyo? Tena akiwa live
Mbona Yesu aliwafukuza "kwa kuwapiga taekwondo" (I'm just kidding) wale wapuuzi waliotaka kuligeuza hekalu kuwa nyumba ya wanyang'anyi? Alikuwa ameishiwa busara?
 
Masikini kalia mwenyewe. Amepata maumivu sn Moyoni.
Mungu atamlipia kwa watesi wake wote
 
Hakika kuna mengi ya kunifunza kutoka kwa Mwamba huyu. Pamoja na mateso yote ya miezi zaidi ya 7 Mbowe hakupata kupiga goti mbele ya watesi wake wala kumwaga chozi bali ilikuwa ni tabasamu na ucheshi.

Lakini siku ya kwanza kutoka gerezani na kuingia kanisani kutoa shukrani ya pekee kwa Mungu kamwaga chozi mbele za Mungu wake. Nini maana yake?

Kwake Mungu ndio kimbilio na nguvu, msaada unaopatikana wakati wa shida na haogopi lolote linalotendwa nje ya mapenzi ya Mungu.

What kind of a leader this man is? Great man!

Oneni tofauti ya hizo picha.

Anajutia makosa,kilichobaki atubu ili awe huru la sivyo ataishi na deni kubwa nafsini mwake
 
Naunga mkono mawazo yao lakini nitajaribu kuwapinga kidogo.

Mwaka 2020 wakati wa kampeni za ufungizi kwa Chadema mbowe alijishushia busara kwa kuwafukuza kama mbwa waandishi wa TBC.

Je, Mtu mwenye busara anaweza fanya hivyo? Tena akiwa live
TBC hakuna waandishi mle
 
Anajutia makosa,kilichobaki atubu ili awe huru la sivyo ataishi na deni kubwa nafsini mwake
Wakudadavuwa, kwa nini unapenda sana kujishushia heshima yako kutoka kuwa mtu mwenye akili kubwa hadi kuwa mwenye akili ndogo?
Mbowe ana makosa gani? DPP kasema hana nia ya kuendelea na kesi, na mamlaka aliyonayo anafanya hivyo akiona mawili kwamba kesi hashindi au haina maslahi kwa nchi.
Nchi hii hakuna mwenye mamlaka ya kumsamehe MTUHUMIWA hata Rais hana, Rais anamamlaka ya kumsamehe mhalifu tuu. Na mhalifu ana tanabaishwa na mahakama pekee baada ya hukumu.
Hivyo Mbowe hana hatia na hakua na hatia hana cha kujutia wala kutubu.
 
"Mmemuonea sana Mzee @freemanmbowetz hata anafikia kumwaga chozi kwa uonevu wenu... Naamini mlipomuita usiku huko, mlimuomba msamaha. Take heart chairman! Tusome Warumi 12:19"
===

===
1646650330018.png
 
kwa kweli mwendazake pamoja na kuwa katangulia ila jamaa alichowafanyika mamia ya watanzania ni huzuni, simanzi na majonzi makubwa - Wapi Moses Linjenje kwa mfano ?

Ni Mungu tu ndiye wa kumlilia lakini kamwe usimlilie ama kumpigia magoti mwanadamu mwenzako ni dhambi na laana kubwa.
 
Hiyo tenzi huwa inavuta hisia sana sana.

117.Tufani Inapovuma​

Tufani inapovuma
Sana moyoni mwangu,
Huona pa kujificha
Mkononi mwa Mungu.

Hunificha, hunificha
Adui hatanipata,
Hunificha, hunificha,
Mkononi mwake.

Pengine kuna taabu
Yanisongeza kwake;
Naijua si hasira,
Ni ya mapenzi yake.

Adui wakiniudhi
Nami nikisumbuka,
Mungu atavigeuza
Vyote viwe baraka.

Niishipo duniani
Ni tufani daima,
Anilindapo rohoni
Nitakaa salama.
==
 
Hakika kuna mengi ya kunifunza kutoka kwa Mwamba huyu. Pamoja na mateso yote ya miezi zaidi ya 7 Mbowe hakupata kupiga goti mbele ya watesi wake wala kumwaga chozi bali ilikuwa ni tabasamu na ucheshi.

Lakini siku ya kwanza kutoka gerezani na kuingia kanisani kutoa shukrani ya pekee kwa Mungu kamwaga chozi mbele za Mungu wake. Nini maana yake?

Kwake Mungu ndio kimbilio na nguvu, msaada unaopatikana wakati wa shida na haogopi lolote linalotendwa nje ya mapenzi ya Mungu.

What kind of a leader this man is? Great man!

Oneni tofauti ya hizo picha.

Sio ushujaa unaweza kufa
 
Mwamba ame surrender Ikulu kwa mama kabla ya kufika hata kwake, Je umemsikia Tundu Lissu akisema chochote kutoka kwa mbowe gerezani?? Msigwa na Heche? tayari mshapigwa 3 bila, chadema kwisha habari yake
 
akilia mbowe kanisani mnamsifu saana kwamba ni hodari shupavu akilia makonda kanisani mnamcheka anajilizaliza mkoje nyinyi chaggadema akili yenu imeoza
 
Back
Top Bottom