Mbowe hajatoa chozi kwenye mateso, katoa chozi nyumba ya Mungu

Naunga mkono mawazo yao lakini nitajaribu kuwapinga kidogo.

Mwaka 2020 wakati wa kampeni za ufungizi kwa Chadema mbowe alijishushia busara kwa kuwafukuza kama mbwa waandishi wa TBC.

Je, Mtu mwenye busara anaweza fanya hivyo? Tena akiwa live
Inategemea kiwango cha ukomo wa uvumilivu. kiwango cha kusamehe, je hukumbuki hata Yesu alipindua meza za wauza njiwa hekaluni??? Je ilikuwa ni kukosa busara?
Tbc haitazamwi na watanzania wengi je sababu ni hawana busara au ni tv stesheni flani imepoteza hadhi haina mvuto???
 
Gaidi gani alipata kusamehewa? Au ushahidi wa kupanga ulioanza kubomoka wakati wa mashahidi wa kuchonga ulikuwa unakwenda kuumbua watu wakati wa utetezi!
Je bado mtatumia tanpol kutunga kesi za ugaidi na kuendelea kutesa raia au mtamshangilia kudhulumu watu mali zao huku mkiwapa kesi za utakatishaji kisa hawakipendi Chama Cha Madhalimu???
Cha msingi Asirudie tena kupanga ugaidi hilo ndilo akumbuke Siku zote
 
Naunga mkono mawazo yao lakini nitajaribu kuwapinga kidogo.

Mwaka 2020 wakati wa kampeni za ufungizi kwa Chadema mbowe alijishushia busara kwa kuwafukuza kama mbwa waandishi wa TBC.

Je, Mtu mwenye busara anaweza fanya hivyo? Tena akiwa live
Umeona Hilo Tu la kuwafukuza watumishi wa serikali ambayo ukweli ni kwamba wasiandika habari zake!!!..Any Fedha na busara ni vitu muhimu sana tena sana!!... wanasiasa karibia wote kwenye nchi hii wametoka familia Duni sana lakini sio Kwa Mbowe!!..Hili nalo la kujifunza?!!..mtu ambae alikua ana pambana Kwa mafanikio wakati wa Nyerere Hadi kufikia kuamua kuanzisha movement hizi ni ngumu sana!!.. someone who knows in and out of you!!..Utamwambia nini?!!.. wakati mwengine Mbowe huwa ana waangalia mahasimu wake anacheka Tu!!...Kipindi cha JPM alikua anafatwa ana ambiwa hii ni mbaya alikua anasema let them come for me!!.. Anyway nifunge mdomo wangu sasa
 
Mwamba ame surrender Ikulu kwa mama kabla ya kufika hata kwake, Je umemsikia Tundu Lissu akisema chochote kutoka kwa mbowe gerezani?? Msigwa na Heche? tayari mshapigwa 3 bila, chadema kwisha habari yake
The roots of this party are never useless and shall never!!.. Chadema imetengenezwa vyema na waasisi wake!!..
 
Nonsense! Kutoa kwake chozi sio sababu ya mahali alipo (gerezani au kanisani), la hasha! Isipokuwa ni sababu ya kishukuru na kutoamini (disbelief) kuwa ameachiwa. Pengine kwa hesabu zake na ukweli wa nafsi yake kuhusu shutuma alizonazo alijua hatatoboa.

Ni hivi:
Huyo Mbowe angetolewa gerezani kwa muda akaletwa kanisani aabudu na kurejeshwa gerezani, angelia au kutoa chozi?

Lakini pia, kwa tafsiri ya "kishujaa" na "kujikaza kiume" kwa lengo la kutowakatisha tamaa wafuasi, ni lazima ajikaze awapo Mahakamani. Huwezi jua analia kilio gani akiwa peke yake rumande au kitandani gerezani wakati wa kulala. Usikute anamwaga chozi kumzidi mama mjane aliyetapeliwa mali.

Just thank God ameachiwa huru, basi. Hizo nyingine ni sifa za kijinga kwa binadamu mwenzako.
Unadhani Kwa utajiri na Rasilimali zake hata angefungwa maisha angepoteza nini?!!.. wakati ukijua utakufa Tu!!
 
Eti hajachuchumaa... Nani alikuwa naye kila hatua ya maswahibu yake? Usikute anaweza kuwa alisujudu kabisa kwa binadamu mwenzake wakiwa wawili, pasipo na kamera za ushahidi.

Narudia: cha kushukuru ni kwamba Mbowe yupo huru, hizo nyingine ni sifa za kijinga.
Haja chuchumaa yes kwasababu anajulikana Hana njaa chama cha kwao wao ndio waasisi ana fanya biashara tokea 80 Baba yake alikua Tajiri kabla ya Uhuru!!..Ana Ndugu huko jeshini na serikalini Wana vyeo vikubwa ana vijana huko serikalini na kwenye vyama vingine vya Siasa!!..Ndio maana Wana mwiita Mwamba he knows the game yes ndio maana aliwaambia nimekuja kuwatoa sasa furahini!!..
 
Nimekuja mbio mbio nikadhani tumehujumiwa tena na makamba na team yake kwenye bwala la nyumba ya mungu
 
Back
Top Bottom