Mbowe hajatoa chozi kwenye mateso, katoa chozi nyumba ya Mungu

Atmosphere ya kanisani lazima alie...ukizingatia kadhia aliyopitita na muda wote huo amekua akilisikia kanisa hata ingekua wewe..
 
Utakaaje na fisi wewee acha ujinga
Naunga mkono mawazo yao lakini nitajaribu kuwapinga kidogo.

Mwaka 2020 wakati wa kampeni za ufungizi kwa Chadema mbowe alijishushia busara kwa kuwafukuza kama mbwa waandishi wa TBC.

Je, Mtu mwenye busara anaweza fanya hivyo? Tena aki
 
Hakika kuna mengi ya kunifunza kutoka kwa Mwamba huyu. Pamoja na mateso yote ya miezi zaidi ya 7 Mbowe hakupata kupiga goti mbele ya watesi wake wala kumwaga chozi bali ilikuwa ni tabasamu na ucheshi.

Lakini siku ya kwanza kutoka gerezani na kuingia kanisani kutoa shukrani ya pekee kwa Mungu kamwaga chozi mbele za Mungu wake. Nini maana yake?

Kwake Mungu ndio kimbilio na nguvu, msaada unaopatikana wakati wa shida na haogopi lolote linalotendwa nje ya mapenzi ya Mungu.

What kind of a leader this man is? Great man!

Oneni tofauti ya hizo picha.

Nonsense! Kutoa kwake chozi sio sababu ya mahali alipo (gerezani au kanisani), la hasha! Isipokuwa ni sababu ya kishukuru na kutoamini (disbelief) kuwa ameachiwa. Pengine kwa hesabu zake na ukweli wa nafsi yake kuhusu shutuma alizonazo alijua hatatoboa.

Ni hivi:
Huyo Mbowe angetolewa gerezani kwa muda akaletwa kanisani aabudu na kurejeshwa gerezani, angelia au kutoa chozi?

Lakini pia, kwa tafsiri ya "kishujaa" na "kujikaza kiume" kwa lengo la kutowakatisha tamaa wafuasi, ni lazima ajikaze awapo Mahakamani. Huwezi jua analia kilio gani akiwa peke yake rumande au kitandani gerezani wakati wa kulala. Usikute anamwaga chozi kumzidi mama mjane aliyetapeliwa mali.

Just thank God ameachiwa huru, basi. Hizo nyingine ni sifa za kijinga kwa binadamu mwenzako.
 
Kasomi , itakuwa hujamfahamu vizuri Mh. Mbowe, Soma comment za wanao mfahamu Mh. Mbowe wana sema nini.
==
View attachment 2141839
Eti hajachuchumaa... Nani alikuwa naye kila hatua ya maswahibu yake? Usikute anaweza kuwa alisujudu kabisa kwa binadamu mwenzake wakiwa wawili, pasipo na kamera za ushahidi.

Narudia: cha kushukuru ni kwamba Mbowe yupo huru, hizo nyingine ni sifa za kijinga.
 
ogopa Mungu wewe Mbowe ni mwamba na siyo Lipumba au yule wa Chato.
 
Mwamba anaufyata? Mbona hatusikii tena #KatibaMpya? Akae kwa kutulia kazi iendelee.
Hata wiki hajamaliza,kukaa na familia yake kisawasawa hajakaa nao,hata marafiki wake wote hajakutana nao barabara,enyi watoto acheni utoto hata kama hamna familia.
 
Nonsense! Kutoa kwake chozi sio sababu ya mahali alipo (gerezani au kanisani), la hasha! Isipokuwa ni sababu ya kishukuru na kutoamini (disbelief) kuwa ameachiwa. Pengine kwa hesabu zake na ukweli wa nafsi yake kuhusu shutuma alizonazo alijua hatatoboa.

Ni hivi:
Huyo Mbowe angetolewa gerezani kwa muda akaletwa kanisani aabudu na kurejeshwa gerezani, angelia au kutoa chozi?

Lakini pia, kwa tafsiri ya "kishujaa" na "kujikaza kiume" kwa lengo la kutowakatisha tamaa wafuasi, ni lazima ajikaze awapo Mahakamani. Huwezi jua analia kilio gani akiwa peke yake rumande au kitandani gerezani wakati wa kulala. Usikute anamwaga chozi kumzidi mama mjane aliyetapeliwa mali.

Just thank God ameachiwa huru, basi. Hizo nyingine ni sifa za kijinga kwa binadamu mwenzako.
Post #45 inakuhusu
 
Back
Top Bottom