Kwa nini mnaituhumu CCM wakati pingamizi limewekwa na mgombea wa CDM?
Uelewa wako finyu wa mambo ya Nchi hii ndo unaokufanya uamini kuwa mbarouk ni wa cdm au ni kutokana na makombo ya ccm unayokula?
Kwa nini mnaituhumu CCM wakati pingamizi limewekwa na mgombea wa CDM?
Big up. Tokomeza ukabila
Ukimdharau unampunguzia nn?zito kamzidi nn mbowe?wewe na ukoo wako mmemzidi nin mbowe?unamdharau mtu asiekujua wala hajui kama unamdharau we mzima kweli?fuatilia maisha yako itakusaidia sana.
pathetic....
hata andika yako ni shida, lakini sio kosa lako ni elimu uchwara ulio ipata, kajifunze kwanza kuandika.
Bavicha badala ya kumsupport Mbasrouk, mmekazania kulaumu CCM. Hivi Mbourouk ni CCM au kila anayempinga Mbowe ni CCM. Hii saccos inatupeleka wapi, haina hata mwongozo kila mtu ni kambale. Nadhani hii ni njaa, maana njaa mbaya!!!! Sasa hivi Mbarouk atafukuzwa cdm na ataambiwa msaliti na bavicha watashangilia kwa shilingi tatu tatu maana njaa mbaya.
Ingekuwa China mtu kama Mbowe adhabu yake ni kunyongwa.
Atafia madarakani huyo
Watu kwa kujikweza hamjambo, hivi na wewe huwa unajihesabu kuwa ni muona mbali!Chama kinapoingiliwa na wahuni wachumia tumbo ndio haya hutokea, tulisema sana wengine hapa tukaonekana wasaliti sasa mnatoka uchi na maji yana viwavi, kuyakoga mnaogopa maana mtawashwa hadi...Mkiambiwa kuna watu tunaona mbali jamani hamtaki kusikia, wajanja nyie mtayajutia mengi mwaka huu.
Kifkra ,kielimu,kisiasa mpaka utashi hamfikii mnasemaje nyie mamburula kama hamuogopi amrudishe kabla ya uchaguzi wenu wa magumashi alafu asimame nae muone aibu mtakayopata nyambafuuu nyie.