Nimeamini CDM ni Nouma, Mbowe ni shidddeerrr.
Mambo ya CDM lkn CCM ndiyo wako busy.
Hahahaha!!!
Mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo, CHADEMA mh Freeman Mbowe, amewekewa pingamizi kugombea nafasi ya uenyekiti Taifa kutokana na madai kuwa, amekiuka katiba ya chama hicho pamoja na maagizo ya msajili wa vyama nchini.
Source: Mtanzania
Kwa nini mnaituhumu CCM wakati pingamizi limewekwa na mgombea wa CDM?
mkuu ulisoma barua ya jaji
Safi sanaaa mbowe oooouutt waachie chama na wengine waongoze wenye upeo maarifa akili weledi uadilifu mbinu mawazo uwezo kukuzidi wewe
Ametumia kanuni ipi ? Mbona CCM mmepoteza uwezo wa kufikiri kiasi hicho? Huyu jamaa yenu ni bomu .......a nawakaribisha wapiga kura halafu anaenda kuwaomba kura ......Kansa kweli ni hatari....
Wanachama wa Chadema tunamtaka Mbowe awe mwenyekiti wetu, tuko tayari kusubiri hadi haki hiyo tutakapoipata we dont care when, kwasasa tunao viongozi wa Misingi, Tawi, Kata, Majimbo/Wilaya, Mikoa na Kanda, tunaweza kuendesha Chama bila shida yoyote, na wanaopendelea kutuzuia tusifanye uchaguzi wetu ndivyo mnavyowafanya Mbowe na Dr. Slaa kuendelea kuwa madarakani na hiki ndo hasa tunchaokita wanachadema. Viva Chadema.
Huyo ni mlevi wa madaraka katiba kaiweka kapuni ili aendeleze sacos yake na vijana wa bavicha wamepewa kidogo ili wampigie debe kweli akili ni nywele.
Hivi hiyo rufaa ya pingamizi inaenda kusikilizwa Lumumba? Sii ni kamati ya uchaguzi ndani ya chama? Sasa furaha ya wanaCCM INATOKA WAPI?Safi sanaaa mbowe oooouutt waachie chama na wengine waongoze wenye upeo maarifa akili weledi uadilifu mbinu mawazo uwezo kukuzidi wewe
Liletwe pingamizi ili haki itawale.Mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo, CHADEMA mh Freeman Mbowe, amewekewa pingamizi kugombea nafasi ya uenyekiti Taifa kutokana na madai kuwa, amekiuka katiba ya chama hicho pamoja na maagizo ya msajili wa vyama nchini.
Source: Mtanzania
Kwa kuwa imeandikwa kuwa kuna miungu wengi ila Mungu Mkuu ni mmoja. Bila shaka huyo Mungu wa CHADEMA si Mungu Mkuu na ndo maana watu wanawindana kwa sumu na viongozi wake kutopea kwa uzinifuMtahangaika sana magamba Chadema ni mpango wa Mungu.
Hilo si pingamizi hata kidogo. Huo ni mchezo wa kuigizaLiletwe pingamizi ili haki itawale.