Mbowe awekewa pingamizi CHADEMA

Mbowe awekewa pingamizi CHADEMA

Nje ya CHADEMA, Mbowe hana umaarufu
Of course! Hata Mzee Jommo Kenyatta alishawahi kusema "mkitaka kujua kwamba mimi sio mzee, mulize Mama-Ngina". Watu wa familia yako wasipokuona wewe kuwa ni wa maana, basi walio nje wakikusifusifu ujue wanataka kukuchuna ngozi tu. Hata misahafu inatuambia mtu akitaka kuwa askofu, ni lazima awe anaimudu familia yake..... Sasa wewe unataka awe kama Lyatonga asifiwe sana nje kwa kutumiwa wakati Jogoo lake halionyeshi tija ndani ya uzio wake? Madhara yake si ndo unaona tayari Vunjo sio yake tena sasa, kaiendea kijana asiyepepesa macho kulia na kushoto kukuambia "EEbanaeee, hembu funga zipu yako inadumaza malengo ya Taifa!" hata kama unampa kafa ulaya na kuibuia mazese ili apndeze. Acha banaee, kujikmba na tija ccm tu kwengineko twataka kazi kwanza
 
Of course! Hata Mzee Jommo Knyata lshwahi kusea "kmkitaka kuja kamba mimi sio mzee, mule Mama-Ngina". Watu wa familia yako wasipokuona wewe kuwa ni wa maana, basi walio nje wakikusifusifu ujue wanataka kukuchuna ngozi tu. Hata misahafu inatuambia mtu akitaka kuwa askofu, ni lazima awe anaimudu familia yake..... Sasa wewe unataka awe kama Lyatonga asifiwe sana nje kwa kutumiwa wakati Jogoo lake halionyeshi tija ndani ya uzio wake? Madhara yake si ndo unaona tayari Vunjo sio yake tena sasa, kaiendea kijana asiyepepesa macho kulia na kushoto kukuambia "EEbanaeee, hembu funga zipu yako inadumaza malengo ya Taifa!" hata kama unampa kafa ulaya na kuibuia mazese ili apndeze. Acha banaee, kujikmba na tija ccm tu kwengineko twataka kazi kwanza

Hueleweki. Umeshakunywa viroba vingapi?
 
Haa huyo ndo mwenyekiti mtarajiwa wa cdm kazi ipo! Chadema kuweni makini na wagombea wenu!
 
Huwa nikimuona mbowe namdhatau sana hasa mbele ya zitto jamfikii kwa lolote japo kampita umri tu.
 
Mnamo mwaka 2010 #chadema waliwatangazia wananchi kuwa hawamtambui rais dr jakaya kikwete, swali: ni lini chadema wametangaza au walitangaza kuwa wanamtambua rais??? Swali la pili; chadema mwaka 2010 walitangaza kuwa hawatachukua magari ya kifahari, je ni lini chadema walitangaza kwa wananchi kuwa wamechukua hayo magari? Na pia chadema walitangaza mwaka 2010 kuwa hatachukua posho za bungeni, swali je ni lini chadema walitutangazia wananchi kuwa wamechukua hizo posho????

#tutaheshimiana
 
"Mbowe alibadilisha majina ya Chiku Abwao na Susan Kiwanga huku akiwapachika Susan Lyimo na Lucy Uwenya. Baadaye Mbowe alikiri kosa na kuomba msamaha katika kikao cha Kamati Kuu,”alisema.
Alisema hayo yote yanadhihirisha pasipo shaka kwamba mwenyekiti huyo amekosa uaminifu hivyo anapaswa kunyang’anywa nafasi hiyo ya uenyekiti."

Alisema baada ya uchaguzi wa mwaka 2005 chama kilipata nafasi tano za kuteua nafasi wabunge wa viti maalumu kuingia katika Bunge la Jamhuri ya Muungano, ambapo Kamati Kuu kilipitisha majina ya Suzan Kiwanga, Chiku Abwao, Halima Mdee, Mhonga Ruhanywa na Grace Kiwelu lakini Mbowe alibadilisha majina hayo.


source; magazetini leo.

My take; Je ni halali kutumia madaraka yako vibaya kuchakachua haki za wengine na kuweka ndugu zako?
Hili ni kosa kubwa sana hakupaswa kuomba msamaha bali kujiuzuru kabisa.

 
Huwa nikimuona mbowe namdhatau sana hasa mbele ya zitto jamfikii kwa lolote japo kampita umri tu.

Ukimdharau unampunguzia nn?zito kamzidi nn mbowe?wewe na ukoo wako mmemzidi nin mbowe?unamdharau mtu asiekujua wala hajui kama unamdharau we mzima kweli?fuatilia maisha yako itakusaidia sana.
 
Hizi tabia ndio zinashusha sana umaarufu wa vyama vya siasa nchini.ukiangalia historia tokea uanzishwaji wa vyama vingi nchini,utaona kuwa mwanzoni hivi vyama vipya vinaibuka na umaarufu mkubwa sana,na hii ni kwasababu watu wanakuwa bado hawajajua undani,uongozi,uendeshaji na maadili ya hao viongozi.Lakini kadri siku zinavyokwenda inaonekana hakuna chama chenye nia ya kweli ya kuwakomboa watanzania na matatizo waliyokuwanayo isipokuwa kila mtu anaangalia tumbo lake,sera zipo kwenye makaratasi tu.utekelezaji zero,wanasiasa kwa zaidi ya asilimia 90 wanapoingia madarakani sio wapinzani wala watawala wengi wanaangalia maslahi yao...............
 
Mtahangaika saaaaaaana lakini hamtafanikiwa. Mbowe bado ni jembe na bado tunamhitaji kwa miaka mingine
 
Tuache kufikiria kwa kutumia Makalio ; yaani mtu mmoja anawaze kubadili majina ya Wagombea? Mbowe sio anae manage database. Labda pengine msichokifahamu ni kwamba haya majina yako kwenye database na sio kichwani mwa mtu kama Magamba mlivyo! Tumieni vichwa vya juu kuwaza na sio vichwa vya chini

nini maana ya database? kwani haibadilishiki???
 
Kansa aache kuweweseka Mbowe alishatoa mwaliko kwa wale wote wanaojiona kuwa wanaweza kupimana ubavu na Mbowe wajitokeze.Kama ana ubavu asubiri siku ya kuingia ulingoni wapimane ubavu.

Mkuu heshima kwako, hiyo ndiyo GREAT THINK
 
Back
Top Bottom