Yusuph Songela
Member
- Jul 12, 2015
- 70
- 5
Magamba mwaka huu mnalo ! Mmekazania miamala ya Mbowe ! Mbona miamala ya stanbic hamuisemei ?? Zimetoka kwa njia za viroba mna kenua tu. Hatudanganyiki. Lowassa daims !!
WAANDIKE NA HII:
Kwani 50yrs ambayo waccm wamepiga na wengine kusafirisha wanyama (tunu) wetu kupeleka wanakojua wanadhani hatujui ?
Mnaingizwa chaka bila kujijua kwanini wasilinde wao wanaogombea na kunufaika na hayo madaraka,lakini pia unawezaje kulinda kitu usichokiona tena ukiwa umbali wa mita 200!
hii uzushi hamna tarehe wala saa ya iyo transaction kufanyika?
Weka hapa hizo barua/email zenye mawasiliano kati ya wafadhiri wa japan na chadema. Weka hapa mkataba/MoU. Milion 600 ni nyingi sana. Lazima kuwe na documentary evidence(best evidence rule). Want of that ni propaganda za miaka yote tulizozizowea. Tuth matters.
Magazeti ya leo yameandika jamaa wapiga dili wanafanya miamala ya kufa mtu kupitia hongkong na dubai. Kweli kura ni mali.
View attachment 300421
View attachment 300420
sitomuamini mbowe tangu nliposikia alipokea bil 10 ili lowassa aingie, walanguzi wakubwa, laana iko juu yao ngoja uchaguzi utakapoisha tutajua ukweli