Eti Mbowe aanza kuhamisha Mali nje! Hizi propaganda zimeshachewa sana,eti chanzo chenye ni mwanachama wa CHADEMA!upuuzi mtupu. Mliwahi kusema CUF wameingiza kontena la silaha kutoka nje lakini mlipuuzwa! Subirini tu tuwaoneshe kazi kwenye sanduku la kura tarehe 25.
mbowe anapenda sana watu kama ninyi msiojua hata kufikiri / wepesi kusahau . wanaotapika na kurudia matapishi yao :
hata swala la lowasa kuja cdm mlianza hivi hivi kwa kujishebedua or mara hatuwezi kumpatia fisadi form , lowassa akija mim na hama . leo yuko wapi . think big man

