monges
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 1,040
- 392
Eti sitomuamini uliposikia alipokea bil 10, dah sasa hii kazi. Kusikia tuu bila ushaidi, basi chuki na ku kosa kabisa kumuamini.
Ungeonyesha ushaidi, hapo sawa, lakini bila ushaidi, basi ninamashaka na uwezo wako wa kudadavua mambo. Kama hizi ndo akili za watanzania wengi, basi nchi ina safari ndefu ya ukombozi.
Ccm wameuza nchi kwa wawekezaji hulioni? Wanyama pori kutorosha huoni? Watu kupiga dili ESCROW, hulioni? Wanafunzi kukaa chini hulioni? Huduma duni za afya kwa wazee, akina mama na watoto, huyaoni hao.
Wachache kua matajiri, na wengi kuwa masikini kwenye nchi yenye kilakitu, hayo huyaoni? Ila bado waiamini ccm kuku letea maendeleo. Dah! Majanga kweli. Ila unauchungu wa hisia eti kapewa hela na sio kua na uchunga na hali halisi ya nilioataja hapo juu. Amakweli alio waroga watanzania kafaa. Badilikeni jamani, tuanze ukurasa mpya. Tanzania bila ccm inawezekana kama vile tanzania bila nyerere inasonga mbele.
Tanzania bila ccm haiwezekani, Mbowe ni mzee wa dili na kibaya zaidi Lowasa katembeza pesa ndani ya chadema na wenzake, ss wote wamekaa kimya, hawa huwezi kuwaamini kuwapa nchi, wao imekuwa sanaa hadi kwenye kampeni, mgombea hawezi kuongea wanasingizia mitambo mibovu, wakati huo wao wote wameongea bila shida ila Dk5 za Lowasa ndo mic
Mbovu,, tutawapa nafasi za ubunge na udiwani si urais, ni bora kumpatia simba mmoja aliyeshiba kuliko kuwapatia simba wengi wenye njaa, kama kaanza kuhamisha pesa kwenda nje na ndo wana mipango ya kufumua mikataba ss ndo itakuwa bara 2pu.